Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Wahenga wa kileo nasema wa kileo siyo wale wazamani wanasema " kwa kutumia make- up wanawake wanaonekana warembo na kwa kuwa na pesa kunafanya mwanaume yeyote aonekane mtanashati".
Jamani tudondoshe maoni yetu juu ya wahenga wa kileo, kweli kila mwanamke anayeyumia make up anaonekana mremb?? Na mwanaume ukiwa na pesa tu unaonekana mtanashati (handsome)???
Jamani tudondoshe maoni yetu juu ya wahenga wa kileo, kweli kila mwanamke anayeyumia make up anaonekana mremb?? Na mwanaume ukiwa na pesa tu unaonekana mtanashati (handsome)???