Mwaka mmoja wa kuachana na punyeto

babatovu

JF-Expert Member
May 5, 2014
2,739
1,601
Hi....
Wana MMU, ilikuwa ni mwaka 1999 nikiwa chuo mwaka wa kwanza ndipo nilipo uanza mchezo huu usio faa. Ilikuwa ni mazingira ya nyumbani, nyumba niliyokuwa naishi haikuwa na dari na next door kulikuwa na mpangaji wa kike hajaolewa.

Alikuwa anabadilisha wanaume kila wiki(anajiuza), nyakati za usiku nilishindwa kupata usingizi kutokana na milio na miguno ya kimahaba aliyokuwa akiitowa na mwisho wa siku nilijikuta nikianza kujiridhisha mwenyewe ili nipate usingizi. Na mwisho wa siku nilijikuta nimekuwa slave wa punyeto kuanzia 1999 mpaka March 2016.

Nilijitahidi kwa kila hali kuacha nilishindwa, nilifanikiwa kwa mwezi mmoja tu. March 2016 nilikutana na mtumishi wa Mungu Pastor Kennedy kwa ajili ya matatizo mengine tu, hili la punyeto halikuwemo kwenye mada. Alinifanyia maombi yaliyo chukua almost saa mbili, na kuanzia siku hiyo ile ngivu iliyokuwa inanisukuma kufanya punyeto ilitoweka.

Sijawahi tena kuwaza hata kwa dk 1 kurudia hicho kitendo yapata mwaka mmoja na miezi mitatu sasa.

I'm free now, ashukuriwe Mungu aketiye mahala pa juu kabisa.

Sifa na utukufu ni zake kwani anastahili.
 
Mhh toka 1999 mpaka 2016 wewe na punyeto tu kila kukicha! Dogo angalia, inawezekana dude limekufa hilo na wala si kwa sababu ya kukutana na mchungaji wako. Ushakuwa "mtoto si riziki". Pole.
 
mkuu dunia ina mengi hv mtu akikuangalia hvi atazania kwamb ww ni mpiga nyeto nguli? KWELI hiki ni chama cha siri kuliko freemason
 
Aiseee.. Yaani hiyo miaka 17, mtoto kazaliwa, katambaa, kakaa, kaanza kutembea, chekechea, kamaliza darasa la saba, form four na yupo form 5 au 6..!!

Mkongwe kwenye fani..!!
 
Umeoa/olewa?! Maana kama 99 ulikuwa chuo sasahv inatakiwa uwe kwenye ndoa
 
Back
Top Bottom