Natafuta mke

Watu pori

Senior Member
Jan 15, 2017
100
39
Mimi nikijana wa miaka 25 nimuajiriwa natafuta mchumba ambaye ana kazi ili tuweze kusaidiana katika Maisha sichagui kabila wala dini awe na umri kuanzia miaka 20 mpaka 24 kama utakua upon tayari ni pm ili tuweze juana zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom