JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 476
N mtoto amemaliza form 4, mama yake alimsomesha mwenyewe baba yake alimkataa kisa rangi na miaka 18 anasema ni mwaka wa 4 yupo mzigoni hapo ni shida tu zinamfanya afanye hivyo namuonea huruma future yake inapotea na kupoteza utu wake.
Nimemuuliza nikimuoa nikamuweka ndani je atatulia akanijibu ndio anataka nimsomeshe sasa wazee mnanishaurije nijitoe sadaka? Na je ni kweli mtu aliepitia hayo mapito anaweza kutulia ndani.
Je hawezi kukumbushia? Je malaika wa uzinzi hawezi kumuandama maana yake nimeplan nimwamishe huku ambako wateja wake wanaishi nikajilie vyangu mbali taratibu kwa uhuru bila kufuta mdomo na kupepesa macho nani ananiona.
Karibuni wanajamvi sina marafiki mtaani zaidi yenu.