Usiongee haya mbele za mumeo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usiongee haya mbele za mumeo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Invisible, Oct 14, 2008.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Oct 14, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Ukiangalia kiambatanisho nilichoweka utacheka lakini ukweli ni kuwa wanaume walio wengi hawapendi kusikia mambo kama haya... Vinginevyo atafanya kama uonavyo katika video hii

  Watch and enjoy :)

   
 2. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Yeah,
  Some people find it funny, but to me it is kinda rude?!
  The lady was having a good time with the chicky :)


  Ukizingatia kwamba dog is the man best friend....
  I guess she has to get used to this! :(
  .
   
 3. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  He he he he aaaaa invisible leo umeniacha hoi. Sasa hapo ni wivu au nini kilichomfanya akakandamize ka kifaranga ka watu! Duh! kumbe na wao huwa wana wivu.
   
 4. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2008
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  LORAIN
  Haikuwa sababu ya wivu jamaa alikuwa anasoma hilo gazeti na alipenda pawe kimnya lakini kwa sababu fulani hakuweza kumwambie mpenzi wake na akamuonesha facial Expression kumjulidsha yakuwa I m reading I want peace and quit lakini kwa bahati mbaya mpenzi wake hakuiona hiyo hali
   
 5. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2008
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ahaaa kumbe ni maswala ya SILENCE PLEASS ISHHHH! a a a a lakini jamani kifaranga cha watu hivi hivi yani kimededishwa! anglimuweka kofi basi kama demu alikuwa haelewi somo badala ya kiumbe cha watu, duh!. Lol
   
 6. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  Mpenzi mstaarabu angehama hapo mezani akakae penye utulivu.
  Kuna wanaume huwapiga teke paka, ila hawafanyi hivyo mbele ya girlfriend or wife. What do you call a person smashing a living thing like?  .
   
 7. deny_all

  deny_all JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 428
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwenye nchi za wenzetu ukimpiga mtu kofi(mkeo) utakuwa unaitafuta jela kwa mikono miwili ......:(
   
 8. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mh!! Mi nina wasiwasi na kiwango cha mawasiliano cha huyo jamaa na demu wake kama kweli wanapendana nadhani jamaa angemwambia tu demu kuwa azingatie utulivu otherwise asogee pembeni na kikuku chake.. Bila kuambiana inakuwa ngumu kila mtu huwa ana-enjoy kitu chake kwa hiyo kukiponda kile kifaranga ni ukatili na pia ni kutojali hisia za mwenza wake....Unadhani yeye angemnyang'anya gazeti akatupa huko pangetosha kweli hapo mahali?
   
 9. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  sasa angekuwa mtoto je .. maana vitoto vingine vilaniaga hovyo angemusmash kama hako kafaranga? ... poor woman .. shes hooked to a barbarian
   
 10. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #10
  Oct 15, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Sweet dreams are made of these
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2017
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  Nas Escobar
   
Loading...