Kinadada na zawadi za ma apple na maua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinadada na zawadi za ma apple na maua

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Oct 12, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Yaani huwa nacheka sana.
  Eti ukipeleka zawadi ya apple na maua unaonekana wa maana sana kuliko yule aliyepeleka zawadi ya doti za vitenge.
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ha!ha! raha kweli kweli........bt apo inategemea na malez ya uyo mdada....km kakulia kwenye matamthliya tangu utototoni anaona tu watu wanatongozana na kupendana kwa kupeana maua wat do u thk?sa wewe umekulia bom bom uko kiwalani akikuletea maua unaona anakuchanganya tu bora ata angekupa iyo ela ungenda kupunguza baadhi ya maden kwa mpemba.....!!!!!!
  ..wengne apa ukinipa maua sjui kadi naona ahhhh i ela asi angenipa nkafanyia kitu kngne....afu izo ni swaga za kitoto saaaaaana labda epo cz ni tunda ntaelewa lakin maua sju kad ni za enz zileeeeeee form two b...!!!!!! nbt nw m grwn up najua mapenz au real lov cant b xplnd by flowers o kadi...MATENDO YAKO NDO KADI,MAUA NA EPO LAKO ..KM YANAONYESHA ANAKUPENDA KWELI..
  Kuna duu mmoja ivi nilisoma nae ahh yan bf wake akija bla epo sjui kadi na maua mbona kes itaamuliwa na waden..ah sjui ni matatizo au kukremisha kwamba bla maua au kad akupend????

  mmh mi bado mshamba na ntaendelea kuwa mshamba kwenye tasnia hii.....!!!!
   
 3. RR

  RR JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160

  Am learning here...:A S-heart-2::A S-heart-2:
   
 4. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,415
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  umesahau chocolate
   
 5. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  na loly pop
   
 6. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kila mtu na kile anachokipenda, mi mpenzi wangu nikimletea zawadi ya tunda la topetope huwa anaenjoy sana!!
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Demu wangu aliniuliza nitampelekea zawadi gani, nkamjibu maua.
  Akaa anayasubiri kwa hamu.
  Nikiwa narudi zangu home mitaa ya mbuyuni nikavamiwa na kundi la wauza maua.
  Ya zambarau yakanivutia zaidi, nikatoa elfu kumi,
  nikanunu.
  Nilipomfikishia mamsapu akanitimua eti ni maua ya wagonjwa na msibani.
  Sitaki kabisa haya mambo ya kasumba
   
 8. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ni kweli bana eti unaonekana wewe uko vere romantic
   
 9. c

  cool guy Member

  #9
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rose mie kwa namna moja au nyingine nakubaliana na wewe ...hivi vitu haviingii sana akilini....lakini wanawake wengi wanapenda penda hii habari hasa huku ughaibuni napoishi..sasa inanichanganya kidogo lakini wanahususdu vitu hivi yaani akipokea hata kama ni mara ya kwanza basi dalili nzuri sana ..yaani pengine unaweza kupata "one night standing" kumega
   
 10. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Siku hizi hakuna cha maua wala nini,ni chips kuku na bia mambo yamekwisha
   
 11. J

  Jakob New Member

  #11
  Oct 12, 2010
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo watu wana'copy motion' za UGHAIBUNI ambako hivi vitu vina maana sana. Tena huenda hata bei ziko vizuri! Inasikitisha mtu amelazwa dalaja la III, we unampelekea kadi, maua na kajitunda (APPLE) wakati chakula tu ni shida wodi hizo. Huo ni UKASUKU, kwani uzito wa kadi si uko kwenye MAANDISHI tu? Hata hivo wengine utakuta hata hicho KIMOMBO bado ni TATIZO, kadi ya POLE mtu analeta ya PONGEZI! Ni vizuri mkazo ukawekwa kwenye vitu vinavyoweza kutumika kwa hatua zaid baada ya ku'show LOVE! Mi ni hayo tu.
   
 12. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  nilifikiri ni flowers and chocolates!

  apples! ......no thanks
   
 13. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kanga, kanga hasa maneno yake
   
 14. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #14
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kuna siku mkaka wa kinigeria alikuwa anasema huko kwao mdada umpelekee zawadi ya maua utayakuta kwenye dust bin. inabidi upeleke vitu vya maana. maua! yaani alikuwa anashangaa sana
   
 15. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  akanipe mtu kanga kwani mie mzee?
  :tonguez:
   
 16. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  :smile-big::smile-big::smile-big:inabidi usjue meaning za color
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Oct 13, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mimi wa kwangu yeye KITIMOTO KILO MBILI NA NDIZI 3 KWISHNEI
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Oct 13, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  ha ha ha hujatulia wewe
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,489
  Trophy Points: 280
  Ntakuletea bukta shem! Au nayo utaonekana mcheza voleboli?
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Oct 13, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Maua labda atayaona siku ya harusi
   
Loading...