Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,360
Hello guys poleni kwa mihangaiko,
Mimi ni kijana 25 years na kwa hii hali maisha yangu binafsi nimeona niwaombe ushauri wakubwa zangu na wenye experience kuhusu haya maisha ninayoishi.
Ipo hivi, Nikimaliza shughuli zangu jioni kinachofuata ni kwenda kwangu kupumzika, katika mapumziko yangu sex imekuwa basic need na huwa sisahau kujilinda,
Hio ni jioni na aliyekuja muda huo hawezi kuondoka hadi kesho maana kabla hatujalala kuna game na ikiwa ni siku ambazo ni weekend kabla ya yeye kuondoka asubuhi namalizia game la mwisho which means kwa siku nagegeda mara tatu kwa siku kama ilivyo kwa ratiba ya kula chakula.
Kwenye swala la mazoezi nimekuwa mvivu sana je hii inaweza kuni-affect?