Wadada wa vyuo wana mapenzi ya ukweli?

xtaper

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
3,319
4,699
Habari wana jf.. Ningependa kuuliza swali hili kama title ya uzi inavojieleza?
Je vyuoni uko naweza nikapata mdada ambae tunaweza kuwa na uhusiano wa kimapenz wenye kuwa na kujengana na kuendelezana kimaisha
?
 
Thubutu, kipindi hicho nilimpata mmoja ambaye mpaka third year walikuwa wanammendea,ila kwangu alonitafuta mwenyewe!
Si nikaona kama nimeokota dhahabu chini ya kimbweta!
Sijui ata nilimkoseaga nini ila nilikija kushuhudia picha wako na Jamaa bitch huko!
Niliumia sana
 
Ndugu yangu,mm nilihtimu Degree ya kwanza mwaka jana mwezi December so maisha ya chuo nayajua kuliko Professor anavyoyajua.Ukienda chuo usijihusishe na wanawake wa chuo na ukishindwa tafuta mwanamke wa mtaani kwaajili ya kukidhi mahtaji ya kisaikolojia na ukishindwa kabisa the lastly choice nenda ukanunue Malaya kwa kuwa huwa wanapatkana kwa urahic sehem za town ukizingatia kwa Tanzania hakuna chuo kikuu kilichojengwa kijijini,enjoy the beautifully life of University.
 
Back
Top Bottom