Wakuu ni miaka miwili toka tuamue kusitisha uwizi wetu uliotukuka.
Mimi na mchepuko wangu tuliamua kila mmoja wetu aelekeze mapenzi kwa mwenzie wa ndoa, yeye bado hajahalalisha ndoa.
Tulikaa kwa...
Salam wanandugu,
Wakati tukiendelea kujitokeza kumpongeza Rais wetu, tucheck na hili.
Kwanini wake wakisafiri kikazi au kimatatizo huwaondoa mahouse girl hasa hasa familia ikiwa mume mke...
Dunia mzunguko, for sure i never expected this from this guy.
Niliwahi leta thread hapa kuwa mzazi mwenzangu,hanisaidii malezi ya mwanae. The last time nimeenda kwake kwa surprise nilikuta...
Wakuu hii imekaaje,
Baada ya kutengana na waubani wangu, nikaona sio mbaya nitafute mwingine. Mambo yameenda safi tu, nimefanikiwa kupoint mrembo mkali sana zaidi ya niliekuwa nae hapo awali
Huku...
Haloo waugwana, habari za weekend
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 28 imeamua tu kushare na nyinyi list yangu hii ya wadada niliovunja nao amri ya 6 na najuta tu maana sijapata faida yeyote kwenye...
Habari wana jf,
Kuna huu usemi upo sana kwenye mitandao ya kijamii na mtaani "kila nikipata funguo za maendeleo kuna bwege anabadilisha kitasa"
Binafsi mimi huu usemi hua unanigusa sana hasa...
ni bidada maarufu humu JF hasa kwenye hili jukwaa ila ni wachache tuliofanikiwa kumpata na kumgegeda dah huyu mdada ni mtamu sijapa kuona ila figure lake ndo lililonimaliza kabisa wallah mungu...
Jamani kuna some men ukiwaangalia you just thank God for your man maana. Mtoto wa kiume kua na tabia ya kususa, kurevenge, kinyongo imekaaje?
Sijawahi kutana na rafiki wa kiume wa aina hii, ndo...
Huyu bidada aliolewa na mkaka ambae bado anaishi kwao. Familia mzima inaishi pamoja. na kula pamoja ndani kuna mawifi watatu ambao hawajaolewa na wake wa kaka wakubwa wawili.
Baada ya harusi na...
Kuna mtu nataka kumsahau before (i tell him the truth) mana nikimfikiria siwezi kuquit, mliokunywa mkojo vipi ume work out au? Mwenye dawa yoyote anitajie ninywe nikilala nikiamka nisikumbuke hata...
Habar za jioni wana jf
Tumaini langu nyote wazima wq afya na wale ambao wenye matatizo mbali mbali ya kiafya na mengineo basi mola wetu mlezi akawafanyie Takhfifu,
Lengo la kuleta uzi huu ni...
Habari wanaJf!
Ninaomba kuuliza kuhusu matarajio yetu ya maisha kulingana na lifestyle tunayoishi. Wengi tunapenda kufanikiwa na kuwa baba bora katika familia. Lakini kitu ninachojiuliza ni...
Habari kwenu wanajukwaa. naenda direct kwenye ajenda
Mwaka 2010, nilikuwa nasoma chuo flani Arusha. Kuna siku sms iliingia ya "tafadhali nipigie", bila hiana nikapaa hewani nikampigia...
Za usiku huu wakuu,
Kuna siku nilipata SMS kwa dada mmoja ya salamu, baadae nikaamua kupiga, cha ajabu yule dada akasema alikosea namba ila nikamuomba tuwe marafiki wa kujuliana hali. Kweli yule...
Sikukuu ni Kesho siyo Leo.
Wakuu katika utafiti wangu nimegundua kuwa Wadada wanaojifanya kutafuta Wachumba au Boy Friends walio wengi ni Wanaume.
Wanauume wakaka Acheni tabia hiyo ya Kuchezea...
Wakuu Walaama jukwaani, ni
Hivi mara nyingi kwenye jamii yetu haya mambo ni taboo ila sio vibaya kuyasemea kwa faida ya jamii yenyewe ile ile
Sio siri sasa hivi mashoga ama bwax wametapakaa mjini...
Hello. .hope wikendi iko poa kwenu, nimeshangazwa na kitendo cha jinsia ya kike kulipa kiingilio kuingia katika kumbi za starehe na jinsia ya kiume kupita free mlangoni.
Kweli hii ni awamu ya...
Habari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.