Kwa haya wanayofanya Magufuli yupo sahihi

Sio Bongo Hiyo. Alafu Mnakera Sana Nyie Watu Mnabeba Mipicha Na Mivideo Ya WanafuNzi Wa South Africa Kenya Na Uganda Mnasingizia Ni Wadogo Zetu. Bado Maadili Yetu Hayajafikia Huko Hata Kama Watoto Wameharibika.
 
Kwasababu kumnyima mtoto elim kisa mtoto unategemea unazalisha kizazi cha namna gani au ndio mpango kungima watoto elim ili muweze kutawala
 
Hata makazini kuna staff hawabebeki. Tusipotoshe Mada. Kuna matatizo muhusika mkuu ni tabia ya mtu. Hata umsaidie VIP habebeki. Kuna wale walioteleza tuwasaidie
 
wengine ni vyuo vya ualimu jamani.

alafu hiyo clip ni ya kenya asee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom