NANI ANAWEZA NIAMBIA SPECIFIC YA MAHITAJI YA MWANAMKE COZ MIMI NAONA SIWAELEWI HITAJI LAO HASWA NI NINI?
Utakuta mwanaume anamsaidia mkewe kazi hata kufua sometimes kudeki, sometimes kupika...
Nilishawahi kuandika kuwa pindi uchumi wangu ukiimarika ntaongeza idadi ya wanawake... Kwa uchumi wa kawaida tu nimeshakuwa na wake watatu, warembo sana akiwemo mke wangu wa ndoa. Maana mie ni...
Hallow wana JF!
Poleni na mizunguko ya kila siku. Ninayofuraha kubwa kuwataarifu kuwa sasa mimi ni baba wa mtoto wa kike kuanzia leo. Namshukuru sana allah kwa zawadi hii.
Baada ya...
Kwa hali ya sasa ni uboya wa kiwango cha kimataifa kutuma tuma hela ovyo Kwa mwanamke ambae hata hujawahi kumla, Demu unamtumia hela anaenda kugongwa na wengine ukigundua unajipa presha Tu
Siku...
Sio wadada wote ila asilimia kubwa wadada wa siku hizi ukingia katika mahusiano tuu ni lazima utakutana na neno nina "SHIDA" .
sasa kinachosikitisha unakuta mdada ana wazazi wake wako vizuli...
Wakuu,
Ndoa ni jambo jema. Siku za hivi karibuni vijana wengi wamekuwa wakichelewa sana kuoa. Vijana hao wa kiume wamekuwa na sababu zao tofauti tofauti.
Baadhi ya sababu hizo ni kuwa...
Huyu shost ni yule aliyenisuta sana tulipokuwa la Saba Mimi A yeye B, tumesha yasahau yale. Tunaishi wote huku kwetu Kwamtogole, mtaa mzima wanamheshimu kwakua mume wake anazo anazo hata michango...
Mm kijana 27 yrs, kwa Mahusiano ya KImapenzi & friend with Benefits (FWB) tu!
Uwe HIV neg...
Uwe na Good hygene...
Nipo SUMBAWANGA
walipo huku watapewa Kipaumbele Zaidi
Huyu dada nimempenda,ameonyesha ujasiri wa hali ya juu kwa kuonyesha hisia zake za kimapenzi ju ya msanii Ben Pol.Ebitoke anasema yeye yuko sealed(bikra) na atafanya juu chini bikra yake itolewe...
Wakuu,
Naomba mnisaidie kwa hili,
Kuna msichana mmoja nimezoeana nae sana sasa hivi siku za karibuni anadai nimembaka ndotoni na toka ameota hiyo ndoto nimebaka imepita kama wiki mbili msichana...
Nilikuwa na Wanawake wawili ila ndani ya mwaka huu nimeachana nao wote
1:Tuliachana mwezi wa NNE sababu kubwa ni dharahu na jeuri
2:Mwezi huu pia nimeachana na mwingine
Ushauri ndani ya mwaka...
Natumai wote yu wazima humu ndani,kwa wale wenzetu waislam siku ndo hizo zishakatika kumalizia mfungo. Ndugu wapendwa imenibidi niweke wazi tatizo linalo nisumbua kwa siku nyingi na nimejitahidi...
Aisee kufungiwa kwa ambiance kwa kiasi fulani imekuwa neema
Hapa nilipo sasa hivi nipo kangaroo nawapiga mate watoto wazuri huku wakinipapasa kifua
Aaaaaaaaargh wananizidi nguvuuuu nani yupo...
Wakuu, naona siku hizi mtindo wa kuweka vigodoro kwenye makalio umeongezeka kwa kasi sana.Sasa hivi mjini kila msichana mzuri unakuta anachura, yani imekua ni shida mjini.
Utafiti wangu usio...
Humu ndani mu wazima?
Kwanza naomba ieleweke kuwa mimi ni ke. Baada ya kuachwa chali. Nikiwa bado nina mapenzi ya dhati kwa aliyeniacha, niliumia kama mwanamke, nikaomba sana msamaha lakini...
Nimepitia nyuzi nyingi za wakaka wanaotafuta wachumba humu? Asilimia kubwa wanataka wenza wao wa kike wawe wembamba. Hii ni mila au sheria? Kasumba ama tabia?
Kwani wadada wanene hawana...
Hata kuonana hatujaonana. Hajui hata naitwa Nyani nani [jina langu la ukoo], lakini huwa tunachati tu hapa na pale.
Juzi ananicheki kwa WhatsApp...bebi hivi bebi vile.
Mara ananipiga mzinga. Eti...
Salaam
Wana jamvi ili swala la kuwa na mpenzi ambae hataki ata kuguswa makinikia yake,
Limekuwa tatizo Kubwa sana hawa wadada hawaeleweki kabisa, niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja tukawa...
Habari wadau!!
Unajua life kipindi hiki limekaba kiani yaani watu wanafanya matumizi kwa hesabu kali sana.
Wengine tumetafuta hadi mentors wa kutufundisha kubana matumizi ilitwende sawa na hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.