Kwanini wake wakisafiri huhamisha ma house girl?

Kremme

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
472
500
Salam wanandugu,

Wakati tukiendelea kujitokeza kumpongeza Rais wetu, tucheck na hili.

Kwanini wake wakisafiri kikazi au kimatatizo huwaondoa mahouse girl hasa hasa familia ikiwa mume mke mtoto mdogo na house girl.

Utakuta ni bora aingie gharama kumpeleka house girl na mtoto kwa nduguye wa karibu ili mradi tu mume abaki mwenyewe.

WHY MNAFANYA HIVI?
 

Marcy

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
718
1,000
Si kwamba ili mume abaki mwenyewe nikwamba anakuonea huruma jinsi utakavyo kimbizana na malezi ya mtoto ukizingatia nyinyi wanaume mpo busy sna
Na haiwezekani kumpeleka mtoto peke yake kwa ndugu lazima house girl naye aende kama msaidiz kwani huyo ndugu naye anamajukum
Pia inaepusha house girl kugeuzwa kitoweo na faza hs
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom