Wadada wanao Jitafutisha Wachumba/BF

Wadada wanao Jitafutisha Wachumba/BF

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,939
Sikukuu ni Kesho siyo Leo.

Wakuu katika utafiti wangu nimegundua kuwa Wadada wanaojifanya kutafuta Wachumba au Boy Friends walio wengi ni Wanaume.

Wanauume wakaka Acheni tabia hiyo ya Kuchezea akili za Wanaume wenzenu hivyo...
 
Back
Top Bottom