Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,531
Habar za jioni wana jf
Tumaini langu nyote wazima wq afya na wale ambao wenye matatizo mbali mbali ya kiafya na mengineo basi mola wetu mlezi akawafanyie Takhfifu,
Lengo la kuleta uzi huu ni kujaribu kutaka kujua maana wengi tumepitia swala zima la kuachwa iwe kimya kimya ,au kejeli matusi na mengineyi ,
Kinacho nishangaza mwisho wa siku watu hawa huwa wanarudi wenyewe ,
hajalishi itachukuwa muda gani lakini wisho wa siku hurudi tena wa kasi kubwa ,
Ebu tupeane Hapa fikra kipi hasa huwarudisha hawa watu.....
Nawasilisha......!