Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
49,884
2,000
Huyu bidada aliolewa na mkaka ambae bado anaishi kwao. Familia mzima inaishi pamoja. na kula pamoja ndani kuna mawifi watatu ambao hawajaolewa na wake wa kaka wakubwa wawili.

Baada ya harusi na honey moon bibie amerudi nyumbani kuanza maisha ya ndoa. Amekuta I utaratibu wa nyumba ni kuwa break fast ni saa nne asubuhi na inakuwa maandazi mbaazi za nazi mchuzi wa kuku na chapati pamoja na matunda.

Wale Mabint watatu na mawifi wana zamu za kupika. Basi bibi aliomba awe wa mwisho kwenye rosta. Ukifika zamu yake amefika jikoni jogoo amshachinjwa ni kazi ya kunyonyoa na kupika mchuzi.

Binti kumweka kuku kwenye maji aliiva unga ameshindwa kukanda na kila kitu kiko juu ya meza na jiko zima linejaa unga.
Kuona kaka ameoa mwanamke anaepika kinadharia.
Mawifi wamekuja jikoni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom