Amenipa sharti kwamba nisitumie kondom kwenye kulala naye

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,977
2,200
Wakuu hii imekaaje,
Baada ya kutengana na waubani wangu, nikaona sio mbaya nitafute mwingine. Mambo yameenda safi tu, nimefanikiwa kupoint mrembo mkali sana zaidi ya niliekuwa nae hapo awali

Huku sasa naona kuna majanga zaidi ya nilikokuwa. Kawaida mahusiano mengi siku za mwanzo watu hutumia kinga kwani wengi huwa hawafamiani vizuri. Kwangu baada ya kumweka huyu mrembo sawa, nikaomba papuchi wikend hii

Ajabu nilichokutana nacho na kinanitia hofu ni sharti la kutokutumia kondom kama kweli nahitaji nimgegede! Hii kitu ilisababisha wikend hii ndefu kupita kavu hivi hivi kwani nilikuwa nategemea nitoke nae ila hili sharti ni la maahaka sana

Nilijaribu kumdokezea habari za kichek afya lakini yeye ndio hataki hata kuzisikia na kuishia kunilaumu eti simuamini!
wataalamu wa hizi vitu huyu mtu nimfanyeje au nimpotezee tu
 
wakuu

hii imekaaje,
baada ya kutengana na waubani wangu, nikaona sio mbaya nitafute mwingine

mambo yameenda safi tu, nimefanikiwa kupoint mrembo mkali sana zaidi ya niliekuwa nae hapo awali

huku sasa naona kuna majanga zaidi ya nilikokuwa

kawaida mahusiano mengi siku za mwanzo watu hutumia kinga kwani wengi huwa hawafamiani vizuri

kwangu baada ya kumweka huyu mrembo sawa, nikaomba papuchi wikend hii

ajabu nilichokutana nacho na kinanitia hofu ni sharti la kutokutumia kondom kama kweli nahitaji nimgegede!
hii kitu ilisababisha wijend hii ndefu kupita kavu hivi hivi kwani nilikuwa nategemea nitoke nae ila hili sharti ni la maahaka sana

nilijaribu kumdokezea habari za kichek afya kwanA yeye ndio hataki hata kuzisikia na kuishia kunilaumu eti simuamini!

wataalamu wa izi vitu huyu mtu nimfanyeje au nimpotezee tu
Usimpotezee ila mpe foreplay ya kutosha halafu mshuti single. Next time ndo umwambie habari za kupima
 
wakuu

hii imekaaje,
baada ya kutengana na waubani wangu, nikaona sio mbaya nitafute mwingine

mambo yameenda safi tu, nimefanikiwa kupoint mrembo mkali sana zaidi ya niliekuwa nae hapo awali

huku sasa naona kuna majanga zaidi ya nilikokuwa

kawaida mahusiano mengi siku za mwanzo watu hutumia kinga kwani wengi huwa hawafamiani vizuri

kwangu baada ya kumweka huyu mrembo sawa, nikaomba papuchi wikend hii

ajabu nilichokutana nacho na kinanitia hofu ni sharti la kutokutumia kondom kama kweli nahitaji nimgegede!
hii kitu ilisababisha wijend hii ndefu kupita kavu hivi hivi kwani nilikuwa nategemea nitoke nae ila hili sharti ni la maahaka sana

nilijaribu kumdokezea habari za kichek afya kwanA yeye ndio hataki hata kuzisikia na kuishia kunilaumu eti simuamini!

wataalamu wa izi vitu huyu mtu nimfanyeje au nimpotezee tu
NGWENGWE hiyooo... Usikute katumwa kulipiza kisasi... SASA KISASI CHAKE NI KUKUUWA kwa NGWENGWE
 
Mwanadamu amepewa fahamu ili zimuongoze katika kukabiliana na changamoto zinazoyazunguka mazingira yake.....matumizi sahihi ya fikra zake mwanadamu ndio zinamfanya atofautiane kimatendo na tabia na wanyama wa mwituni......

Mabalaa kwenye maisha yetu yanatokana na sisi wenyewe kutokutumia vyema fahamu zetu....ndio maana wahenga wakasema kuwa mtu mwenye fikra hufikiri kabla ya kutenda......

Kitendo cha kutoka nje ya fahamu zako unaweza ukajikuta unafanya tendo au tukio litakalokupelekea uyajutie maisha yako yote ya hapa duniani.......

Na kitendo cha kuzitumia vyema fahamu zako....kitakufanya ukabiliane vyema na changamoto mbali mbali zinazokuzunguka na utayafurahia maisha yako......

Kitendo cha mtoa madz kuja na mada kama hii ni dhahiri kuwa yuko nje na mbali na fahamu zake....ambapo anakaribia kufanya tukio ambalo litayabadilisha maisha yake kuwa ya majuto ndani ya muda tu....na kumuacha akilia na kusaga meno pale ambapo atakapo ungana na fahamu zake.....

Think big
Take control of your destiny
 
Back
Top Bottom