Kipi unatarajia katika haya maisha!

Principal Focus

JF-Expert Member
Jan 4, 2013
924
1,000
Habari wanaJf!
Ninaomba kuuliza kuhusu matarajio yetu ya maisha kulingana na lifestyle tunayoishi. Wengi tunapenda kufanikiwa na kuwa baba bora katika familia. Lakini kitu ninachojiuliza ni matarajio yetu hasa huwa ni nini kulingana na maisha tunayoishi!? Wengi wanapenda kuwa mama bora au wake bora kwa waume zao but swali ni kuwa ni kweli vile wanavyoishi sasa kuna akisi hiyo njozi? Ok unakuta mwanaume tu mtanashati anaka kuwa baba bora but maisha anayoishi ni kweli yana akisi uhalisia anaotaka kuwa!? Kwa wote jibu ni hapana, why!? Because hawaishi kwa nidhani. A guy ako na wanawake chungu nzima alafu atakuwa baba bora kweli kwa mkewe au kwa watoto!? Coz vile tunavyofanya ndivyo watoto hurithi... Mi bado nawashangaa watu wa namna hii japo binadam hubadilika lkn n vizur kujiandaa mapema mtu unayetaka kuwa. Kuliko kuwa most people choose to be different!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom