Mtoto wa kiume kuwa na tabia ya kususa, kurevenge, kinyongo imekaaje?

am a girl

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
748
505
Jamani kuna some men ukiwaangalia you just thank God for your man maana. Mtoto wa kiume kua na tabia ya kususa, kurevenge, kinyongo imekaaje?

Sijawahi kutana na rafiki wa kiume wa aina hii, ndo mara ya kwanza. Now i know kumbe kuna wanaume wa hivyo.

Like mnaongea vizuri kumbe mwenzio anaplan revenge zake kichwani makosa yote anaweka moyoni hata kama mlishayasolve, kujifanya kasemehe kumbe anaplan kukuua.

Ni mental problems au ni nini?

I would say utoto ila in his 30s ni utoto kweli?
 
Pole mwaya, hebu tukae kama kamati tuone tunafanyaje maana naona ishakuwa tafrani!
 
anaweza kuwa na 40yrs still akawa 'wakiume' ... uanaume hauangaliwi kwa idadi ya miaka BUT uwezo wa kuprocess issues, kutoa timely right decissions na kuact accodingly
kwa kweli,hii sikujua
 
Back
Top Bottom