Wasalaam!
Kutokana Na malalamiko mengi mengi ya mahusiano Nimegundua ya kwamba matatizo mengi yanatokana Na wanaume.
Kwanza kabisa Ni kutojali kwao pia Na kuwachukulia wanawake kama vyombo vya...
Kama bango linavyo jieleza..
Mwenzenu mie mara kwa mara sana naota nafanya mapenzi wanawake ninao wafahamu na hata nisio wafahamu Muda mwingine nakua najitambua kabisa kwamba hapa nafanya kitendo...
*Funzo kwa wenye michepuko* [emoji116][emoji116]
Kabla mahusiano yao hayajakolea
jamaa akamkalisha chini huyu mdada na kumpa misimamo yake.
"Mpaka tumekuwa kwenye mahusiano maana yake...
Habari,
Leo nimeona niweke hii hoja mezani. Kabla sijaelezea kichwa cha habari nitoe maelezo yafuatayo:-
Nimekuwa na uhusiano na wanawake tofauti kabla ya kuoa. Ilifika wakati majukumu yamebana...
Wiki moja kabla ya sikukuu, nilikua najisikia raha kupokea na kusikia simu za mademu, na kujiona ninakubalika saaana..
Lakini japokua ilikua burudani, sikupenda kile kilichokua kikizungumzwa...
Nashukuru kama wote wazima,
Leo naomba nitete na shemeji zangu wapendwa.
Ninyi ni mashahidi vilio vya mahusiano na pia kwenye ndoa vimekuwa vingi sana. Na kama nilivyotangulia kuwaasa wanawake...
Wakuu,
Kuna msichana nimemfia sana baada ya kukutana naye tour flani hivi za kitaaluma but ana boyfriend wake.
Nifanyeje kumuingia japo ajue pendo langu?
Habari zenu wanajamii forum
kuna kisa niliwahi kukileta hapa cha mimi kuwa na rafiki wa kike ile yeye mambo ya mapenzi hataki kusikia maana nimejaribu mara kibao kuubadilisha urafiki yawe...
Hope All is well!!!
Kuna utatanishi mkubwa sana juu ya nadharia ya kuendeleza mawasiliano yasiyo ya kimapenzi na watu tuliopita nao kwenye mahusiano hayo (Ex wife/ Ex girlfriend). Kuna...
Wanaume bana sijui ni tamaa au ni zile chuchu zetu angali tukiwa wabichi ndizo zinazowasumbua?
Wewe unajua mtoto wa kike ni mwanafuzi lakini bado huachi kufukuzia mhhh... mzigo mnapata kiuwizi...
Hivi hili neno "k" na "aya"mbona linapendwa sana kutumika hasa na baadhi ya wadada kwenye kuchati, tena kifupi sana...!!?
Unakuta bint unamtext sms yeye kujibu ni neno "k" au "aya"
Sometime neno...
Kipindi hiki ndo kipindi cha kutofautisha kidume haswa mpambanaji na mume suruali. Wanaume suruali kipindi hiki hawapokei simu hata ukituma sms hajibu, wengine wanabadilisha namba kabisaaa.
Haaa...
Leo katika kupeana salamu za Eid Mubarak.. Nikawasiliana na rafiki angu wa kike wa miaka mingi toka form one mpaka sasa kila mtu ana maisha yake... Katika salam za hapa na pale na hatujaonana kama...
EID MUBARAQ
wazazi mnao wapa watoto smartphon makubwa km laptop eti ndo zawadi ya kufaulu darasa oa saba amini nawaambieni mmepotoka watoto wenu kutwa wanaangalia porn nakuja kufanyia majaribio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.