Dunia mzunguko, for sure i never expected this from this guy.
Niliwahi leta thread hapa kuwa mzazi mwenzangu,hanisaidii malezi ya mwanae. The last time nimeenda kwake kwa surprise nilikuta anaishi na mwanamke.alinitolea maneno mabaya sana ya kuniumiza moyo.
Nilibadili no ya simu na kuwa busy na kazi yangu nikimlea baby boy wangu alone. Sikuwahi mtafuta kwa namna yoyote, sielewi kapata wapi no yangu, ila nahisi ameipata kwa workmate wangu ambaye ni friend wake.
Mlinipa moyo na wengine kunitolea kauli za kuumiza sana, bt niseme tu zilinijenga na kunifanya kuwa jasiri kumwacha aishi maisha yake.
Leo niko kazini napokea call kwenye no ngeni,akajitambulisha,then akanambia, nakuja mwona mwanangu na ntalala hapo. Nilimkataza, akanambia sio ombi anakuja ,na kama kuna kitu nahitaji niseme anunue on the way. then kakata simu. I was like eish is he crazy? Ok sitamnyima kumwona mwanae, bt kulala kwangu, like you own the place, hell no.
Hapa nipo napiga lite ili nipate confidence ya kumkabili. Kwa maneno makali alonitolea that day niliyomkuta na mwanamke niliapa kutomsamehe.
Naishi na dada wa kazi na mama mdogo kaja nitembelea so naogopa kucause scene.
Wadau nipeni pointers, nasolve vipi hii ishu?