Mimi najutia kwa orodha hii ya wapenzi, wewe je?

kabunda88

JF-Expert Member
Nov 8, 2015
3,095
2,681
Haloo waugwana, habari za weekend

Mimi ni kijana wa umri wa miaka 28 imeamua tu kushare na nyinyi list yangu hii ya wadada niliovunja nao amri ya 6 na najuta tu maana sijapata faida yeyote kwenye hii list zaidi ya hasara na dhambi tu faida ni "Utamu tu wa mbunye".

Hii ni kuanzia 2009 mpaka now 2017 Mungu anisamehe na anijaalie list isiendelee na hata ikiendelea iwe ya halali vijana tujiepushe na uzinzi tufanye toba Mungu huwa anasamehe.

1. Bi Aisha
2. Irene
3. Hidaya
4. Ruth
5. Agnes
6. Fatma
7. Jasmin
8. Grace
9. Zainab
10. Husna
11. Munira
12. Judith
13. Neema
14. Lidya

Najutia sijisifii, uzuri hakuna mke wa mtu hapo. Lengo lilikuwa nioe ndio nigegede sasa nilipofika chuo uvumilivu ukanishinda nikaangukia kwenye hiyo idadi na hiyo ni toka nizaliwe ndio nimelala na hao wadada.

Mimi najuta sijui wewe
 
Back
Top Bottom