Wanaume tuliobadilishiwa "vitasa" na wanawake tukutane hapa,

Samboko

JF-Expert Member
Oct 30, 2011
5,102
2,000
Habari wana jf,
Kuna huu usemi upo sana kwenye mitandao ya kijamii na mtaani "kila nikipata funguo za maendeleo kuna bwege anabadilisha kitasa"

Binafsi mimi huu usemi hua unanigusa sana hasa nikikumbuka asilimia kubwa ya maendeleo yangu kua hafifu yasiokua kwa kasi wanawake wamehusika kwa kiasi kikumbwa sana, unaweza usiwe unahonga sana ila kuna zile za kuwatumia/kuwapa nauli waje eneo la tukio na vimizinga vingine vidogovidogo, na kama sio home basi gest nako pia unalipia, hua tunaziona ni viela vidogo lkn ukipiga hesabu ni ela nyingi kiasi chake,
Mimi ni mwadhirika mmojawapo wa hili, ukiacha hao wa mtaani, kuna wawili niliwahi kuishi nao kwa nyakati tofauti, mmoja alikua anafumua kibubu changu kwa chini anaiba bila mi kujua hadi kuna kujua keshachota sana,
Mwingine alifikia hata kutengeneza tukio la wizi na marafiki zake wakaniibia zaidi ya ml 5 nilikua nakusanya ya kununua kiwanja.

Kifupi ingekua ni nyumba najenga ningekua na mjengo wa zaidi ya ml 50.

Najua haya majanga ya kubadilishiwa "vitasa" na wanawake ni ya wanaume wengi,
Huu usemi nimeutafsiri kwa style hii, wanaume wenzangu mnaguswaje na huu usemi kwa tafsiri yangu?
Waweza sema jinsi gani ulivyobadilishiwa "kitasa" na mpenzi au wapenzi wako.
 

Samboko

JF-Expert Member
Oct 30, 2011
5,102
2,000
Wanawake pia mwaweza elezea mlivyohusika kuwabadilishia "vitasa" wanaume mliokua nao au mliowahi kua nao.
 

Samboko

JF-Expert Member
Oct 30, 2011
5,102
2,000
sijaelewa mkuu unahitaji nini hasa.Ushauri au mawazo?
Najua mkuu mimi sio mwandishi mzuri, ila namaanisha kwa wale wanaume ambao maendeleo yao yalidumaa/yamedumaa sababu ya kuendekeza wanawake sana.
 

mamaafacebook II

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
2,458
2,000
Hata nyie hamsomeki, utampenda mwanaume utajitoa kwa kila hali utaplay a wifey part, yan utajtahidi kila unaloweza atakachokuja kukulipa ni Mungu anajua

Hapo umekaa mda mrefu unajua huyo ndio husbad to be wako mwenyewe, unakataa watu kibao kisa yeye mmoja mwisho wa siku hakuoi vile vile tuhurumianeni!
 

Nokia83

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
24,643
2,000
Hata nyie hamsomeki, utampenda mwanaume utajitoa kwa kila hali utaplay a wifey part, yan utajtahidi kila unaloweza atakachokuja kukulipa ni Mungu anajua

Hapo umekaa mda mrefu unajua huyo ndio husbad to be wako mwenyewe, unakataa watu kibao kisa yeye mmoja mwisho wa siku hakuoi vile vile tuhurumianeni!

Mh
 

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,602
2,000
Napenda sana papuchi aisee, japo sa hivi nimeoa lkn bado kwa mbaali "abdala kichwa wazi" ananitesa kwa michepuko.
Kama wapenda sana papuchi kawaombe madaktari wakufanyie operation wakubandikie "K" usoni.
Naamini furaha itakuzidi kupindukia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom