lup
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 2,514
- 2,736
Za usiku huu wakuu,
Kuna siku nilipata SMS kwa dada mmoja ya salamu, baadae nikaamua kupiga, cha ajabu yule dada akasema alikosea namba ila nikamuomba tuwe marafiki wa kujuliana hali. Kweli yule dada alikubali na tukaendelea. Yule dada alikuwa Moshi na mimi nilikuwa Mwanza.
Mwanzo nilifikiri huyo dada huenda kapata namba yangu humu JF lakini sio kwani hata Fb tu haifahamu. Baada ya miezi mitatu akaja Mwanza lakini hatukuonana akarudi Moshi kama miezi mitatu tena lakini niliamua kumwambia nampenda kama anaweza tuwe wapenzi na tukionana tutaongea zaidi.
Aliporudi kutoka Moshi tukaonana na sikuamini kwa jinsi alivyokuwa mzuri mtoto wa kichaga. Tukapanga aje kwangu na akaja kama kawaida siku ya tukaishia kucheza na akaniambia hajawahi fanya mapenzi.
Sikuamini kwani ni mtu mzima na ana miaka 25. Siku zilizofuata akaja na hapo ndio nikaona nithibitishe, ukweli sikuamini kuona damu na ugumu wa kuingiza.
Nikawaza kumbe hata kukosea namba waweza pata kitu kipya.
Nafurahia siku aliyokosea namba.