Kwa wanaume tu: Nasumbuliwa na mchepuko

Kwa wanaume tu: Nasumbuliwa na mchepuko

Gemini6

Senior Member
Joined
Jun 21, 2017
Posts
153
Reaction score
208
Wakuu ni miaka miwili toka tuamue kusitisha uwizi wetu uliotukuka.
Mimi na mchepuko wangu tuliamua kila mmoja wetu aelekeze mapenzi kwa mwenzie wa ndoa, yeye bado hajahalalisha ndoa.

Tulikaa kwa mUda mrefu tukasahauliana, sasa miezi ya hivi karibuni ameanza kunitafuta kwa nguvu sana, akidai amemisi mautamu.

Mimi nilishamsahau ila baada ya calls zake za kila siku, naaza kulegea na kulegeza msimamo,
ushauri nimkubalie au nimpotezee?
 
Endelea kulegea maana na nanii nayo italegea hivyo hutaweza kumshughulikia utakuwa umesevu😀
 
Unaonekana hata ushauri hautakusaidia maana ushalegea tayari
 
Ukiamua kukaza kaza mpk mwisho
Na ukiamua kutoa toa mpk jicho
 
ka ushaanza kulegea sawa wakikukuta wenyew hautockia maumivu
 
Ukiamua kukaza kaza mpk mwisho
Na ukiamua kutoa toa mpk jicho
Samahan muandishi ii haikuhusu wew bt nilkua najikumbushia kipaji cha kuandik mistari[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Wakuu ni miaka miwili toka tuamue kusitisha uwizi wetu uliotukuka.Mimi na mchepuko wangu tuliamua kila mmoja wetu aelekeze mapenzi kwa mwenzie wa ndoa,yeye bado hajahalalisha ndoa.tulikaa kwa mda mrefu tukasahauliana,sasa miezi ya hivi karibuni ameanza kunitafuta kwa nguvu sana,akidai amemisi mautamu.Mimi nilishamsahau ila baada ya calls zake za kila siku, naaza kulegea na kulegeza msimamo,ushauri nimkubalie au nimpotezee?
 

Attachments

  • IMG_20170626_102621.jpg
    IMG_20170626_102621.jpg
    34.5 KB · Views: 36
Wewe unaonaje, kama ushahalalisha ndoa yako usirudi nyuma maana unachotaka kufanya hapa unataka ukamege kwa kuwa yeye hajahalalisha ndoa ya kwake
 
Kibombo kya nyoko
Mkuu lugha gani iyo?
UYo mzee kwa profile yako jana alikuwa na bonge ya movie ITV huwa namkubali sana .Kuna siku mkewe aliwa kuwa kidnaped jamaa wanataka mkwanja walipokuja akawauliza mshamuua?Jamaa wakachoka na Mkwanja hawakupata.
 
Mkuu lugha gani iyo?
UYo mzee kwa profile yako jana alikuwa na bonge ya movie ITV huwa namkubali sana .Kuna siku mkewe aliwa kuwa kidnaped jamaa wanataka mkwanja walipokuja akawauliza mshamuua?Jamaa wakachoka na Mkwanja hawakupata.
He is a master of the game
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom