Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za jumapili wana jukwaa la MMU. .. Hapa labda niende direct kwenye mada kwamba kuna hala katabia kwa wadada kusema kwamba mimi bikra sex mpaka tufunge ndoa sasa Swali mkifunga ndoa na...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Bado najiuliza hainingii akilini sababu za mwanamke kuchepuka, kila nikifikiria wengine wanasema pesa kwani ulivyoolewa haukujua kua mchumba wako ni masikini au ulivyomkubalia Kaka wa watu...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu tuanze kwa kukumbusha kidogo tarehe 25/4/2017 nilileta uzi huu Huyu mwanamke simuelewi! Anajifanya anajua kila kitu kwenu nikiomba ushauri wa kimawazo. Nashukuru nilishauliwa vizuri...
8 Reactions
152 Replies
13K Views
Habarini waungwana! Naomba kuwauliza wanaume hapa maana yaonekana wanapenda huu mchezo. Hivi unaanzaje kumchukua video mpenzi wako mnapokua mnafanya Yale mambo halafu unazirusha kwenye mitandao...
13 Reactions
494 Replies
23K Views
Habri wana MMU , Mpaka sasa nashindwa kuelewa nini nifanye ndio maana nimekuja kwenu waheshimiwa mnishauri juu ya jambo hili. Kazi yangu kwa sasa ni bodaboda na ninajulikana karibu ushirombo yote...
0 Reactions
103 Replies
8K Views
Mabibi na bwana. Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza naomba kujua kama kuna chuo kinachofundisha maisha katika ndoa hasa kwa wanawake maana wanawake wengi wamekuwa kero ktk mahusiano yao iwe...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau, hii rangi ya kijani inamaana yoyote ile katika mahusiano? I know about Red and White only.. hebu nijuzeni kwa hii ya kijani.
0 Reactions
63 Replies
18K Views
Kupigwa kibuti sioo sababu ya wewe kuzeeka kwa vilio vya masononeko na lawama za Why me Lord Why me kama Shaggy..Tabasamu lako lazima liendelee kipindi cha Jua au kipindi cha mvua..Hakuna Binadamu...
20 Reactions
357 Replies
19K Views
Hivi kama mtu unataka kumgundua mpenzi wako kuwa ametoka kukucheat a day before hamjakutana au the same day mmekutana kimapenzi ni mambo gani ya msingi yanaweza kukufikisha kuibua ukweli huo hasa...
1 Reactions
31 Replies
12K Views
*HII NI KWA WANAUME WOTE* ✍✍✍✍✍✍✍ *Wanaume wenzangu, tufanye kazi kwa bidii tutafute hela ili uzee wetu tuwe na uwezo wa kujitegemea. Hakikisha kwenye uzee wako una pesa zako mwenyewe za...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Chawa ni mdudu anaeishi kutegemea mwili wa host, kwa lugha nyungine wanaitwa parasite. Chakula cha cha chawa ni damu. Chawa huruka kutoka kwa host mmoja kwenda kwa mwingine na hitaga mayai na...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwema? Jamani wadau, naombeni mnisaidie kufanya maamuzi leo naogopa kufanya maamuzi yangu binafsi nisije nikakosa wa kumlaumu. Nina mwaka wa 7 sasa nafanya biashara kwenye hiki kiosk nina...
3 Reactions
48 Replies
4K Views
Hbr wana JF Kutoka kwenye kichwa cha uzi moja moja uzuri naosemea hapa ni ule wa muonekana wa njee na sio tabia. Kwenye kupita kwangu kote ni mara chache sana nimeona ma bint warembo (wazuri)...
0 Reactions
2 Replies
925 Views
Jipende kwanza wewe kabla hujajitoa Kimasomaso na Kimuhemuhe chako cha Mahaba na kujibeba mzobemzobe na kuubwaga moyo wako mwaaaaaaaah chini kwa mtu mwingine kwa Mahaba shantashanta halafu huyo...
5 Reactions
53 Replies
6K Views
Wakuu nawasalimu, Leo tupeane tofauti zilizoko kati ya mke/mume na Mchepuko. Tofauti hizi zitokane zaidi na uzoefu binafsi, kwa kiingereza tunasema (personal experience) Naanza na mimi mwenyewe...
1 Reactions
99 Replies
12K Views
*HII NI KWA WANAUME WOTE* *Wanaume wenzangu, tufanye kazi kwa bidii tutafute hela ili uzee wetu tuwe na uwezo wa kujitegemea. Hakikisha kwenye uzee wako una pesa zako mwenyewe za kukufanya...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Natafuta mpenzi, i mean girlfriend around kanda ya ziwa. Awe anamcha Mungu dini zote sawa na mwenye kujiheshimu. Rika yoyote Sifa zangu Umri: Miaka 23 Elimu: Diploma ya Ustawi wa Jamii Kimo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hili suala mara kadhaa nimelikuta kwenye mijadala ya watu wengi tu sasa kuwa watu hao kama wakizaa mtoto au watoto na ikatokea wameachana lazima ipo siku watarudia ule mchezo pendwa hata kama...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Wakuu hili swali naomba nisaidiwe. Kuna ndugu yangu alikuja kuniambia kwamba ana mkewe hana hamu ya tendo la ndoa kwa sababu tangu amuingilie ni siku tatu na hatamani, sasa nikaona ni siku chache...
1 Reactions
57 Replies
8K Views
Lovers parting at a Cheshire rail station may find themselves caught in a dangerous liaison - especially if they share a kiss under the 'No Kissing' sign. Far from killing the mood, authorities...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom