Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano zaid ya mwaka 1 na miezi 6 lakin kwasasa kwauchunguz nilio fanya nimegundua anatoka na rafiki angu wakalib, ushauli wakubwa nifanyaje mie na dem namkubali...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mara nyingi naona hiki ki-statement kinatajwa. akina 2pac na mwana Fa kwny nyimbo zao wameta. Naomba kuuliza hivi maana yake ni nini
0 Reactions
92 Replies
6K Views
Tangu ujielewe umekuwa single. Huna girl friend ama mpenzi yeyote yule. Kuna yule mwanamke jirani yako kila siku unamwona. Unamtamani lakini hutaki kumuapproach. Kiufupi unaishi kiupweke ilhali...
9 Reactions
20 Replies
11K Views
Pombe mbaya sana! Miaka 6 iliyopita nilikutana na mwanamke mrembo sana. Anawaka na ana wowowo zuri sana mtoto mbichi binti kabisa! Nikamtamani. Nikapiga sound akajaa ndani ya 18. Nikanunua...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndio amekukosea kabisaa na ushahidi umeuona sawa unapoamua kumpiga hii ina maana gani? halafu wale mnaopigwa hii ni haki yenu au.
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Ilisha kutokea hii. Umeamua kuwa mwana kwaya, Lejio Maria, Utume wa Fatima na kwakua unapenda kusali unaongoza sala. Wale wa mama wanakupenda kwasababu unasalisha vizuri. Wanaona daughter in law...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Mimi ni mkristo.. Mfano kama mke wangu ni mchawi mshirikina. Ana nichawia Mimi na watoto wangu tena mtoto wa kwanza kamtoa kafara yani ndani maelewano akuna . Jenikimuacha nitakuwa nimekosea mana...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
KUNA SIKU ILIBAKI KIDOGO NIFULISHWE MASHUKA LODGE Intro Mwaka 2011-12 wakati nipo chuoni (DODOMA) nilipata show moja ya kibabe bila kutarajia na ikaanzisha mahusiano ya mapenzi lakn hayakudumu...
6 Reactions
157 Replies
25K Views
Nimepanda nae Daladala muda si punde tu nikiwa katika ziara yangu ' maalum ' ya kuangalia kama ' Maandamano ' jana yalikuwepo Jijini Dar es Salaam au hayakuwepo na kama kawaida yangu popote...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Najua wengi watanishangaa kwanini nimezungumza hivi lakini nimezungumza kwa sababu kuna maswali nimekuwa nikijiuliza mara nyingiii. Unakutana na binti ambaye anajijua yeye sio bikra na kuna mtu...
8 Reactions
47 Replies
5K Views
Nimejaribu kufuatilia nakufikiria nimegundua Mungu niwaajabu...kwetu sisi wanaume nmeona kwawale maplayboy Mungu amakuonesha jinsi watu wanavoumizwa kupitia hyo tabia yakuwachezea mabinti...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Anatamba hapa kitaa mara "ooh! Namshukuru Mungu amenipa mume anayenipenda kwa dhati. Na ananiheshimu sana" Wakati akitoa sifa hizo, jambo asilolijua ni kwamba mumewe huwa anatutongoza halafu...
9 Reactions
75 Replies
8K Views
Asha Mohammed mkazi wa Kilungule - Ubungo amemkibia bwana harusi wake Omary Mohamed pamoja na mshenga wake ambao walibaki wamepigwa butwaa! Akizungumza na Mtanzania, Omary alikiri kukumbana na...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Juzi kati nilikuwa kituo kimoja cha Polisi(jina nalihifadhi),nilienda kufuatilia kesi ya ugomvi kati ya binamu yangu na mkewe,huyu binamu yangu alikuwa amempiga mkewe kwa kuchelewa kurudi...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
By Irene Mbowe AINA YA MWANAMKE ASIYEACHIKA..... NII HII HAPA. Anajua mapenzi. Anajua kusaka pesa. Anajua madiko na Anajua Kumtafuta Mungu. We call it MKE MWEMA. BALANCE DIET YAKE IMEBALANSIKA...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari zenu wadau, Kwa kweli maisha yangu yanapitia katika kipindi kigumu sana sasa hivi. Mke wangu ameondoka nyumbani na hataki mawasiliano na mimi kisa tu mpenzi wangu wa zamani na fitna zake...
6 Reactions
110 Replies
12K Views
A ni a girl about town. Alianza sexual relationships akiwa na umri wa miaka 16, akiwa na miaka 17 alipata mimba, kwakuwa wazazi wake wanathamni elimu alipelekwa Aghakan Hospital mimba ilitolewa...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Siri mojawapo ya kudumisha upendo kwenye ndoa ni kununuliana zawadi. Zawadi kwa yule mtu unaeishi nae ni rahisi kuifikiria. Angalia kile kitu kinapungua katika maisha yake ya kila siku. Wanaume...
14 Reactions
57 Replies
5K Views
Ni miaka 12 sasa tangu tulipokutana kwa mara ya kwanza,baada ya urafiki wa miaka 3 nikaamua kumueleza hisia zangu,,akasema mambo ya mapenzi mpaka tumalize shule kwa sasa tuendelee kuwa marafiki...
6 Reactions
97 Replies
8K Views
Unakuta mama/baba anamfichia mwanae uovu kisa anaogopa mwanake atazira / kugoma kumtumia vihela vya kujitapa kijijini kwao. Hiyo inakuwa kama unahongwa na mwanao (means unaendeshwa na mtoto)...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom