Rangi ya Kijani! inamaana gani katika Mapenzi?

Rangi ya Kijani! inamaana gani katika Mapenzi?

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,489
Reaction score
18,379
Wadau,
hii rangi ya kijani inamaana yoyote ile katika mahusiano?

I know about Red and White only..
hebu nijuzeni kwa hii ya kijani.
 
My mind is blank ....mie I though ni uzazi wa mpango tu au kuna maana nyingine tena
 
heeeh! uzazi wa mpango tena...ha ha ha

Kuna wimbo fulani nimeuonaga sikumbuki jina hata alioimba ni wa wadada wa nje na katika huo wimbo

wanatumia Vitambaa vya kijani ambavyo viko everywhere kuhamasisha uzazi wa mpango...
 
Wadau,
hii rangi ya kijani inamaana yoyote ile katika mahusiano?

I know about Red and White only..
hebu nijuzeni kwa hii ya kijani.

rangi ya kijan popote pale huashiria uzima na ustawi mzuri
 
Kuna wimbo fulani nimeuonaga sikumbuki jina hata alioimba ni wa wadada wa nje na katika huo wimbo

wanatumia Vitambaa vya kijani ambavyo viko everywhere kuhamasisha uzazi wa mpango...

mpenz rangi ya kijani ni ishara ya uzima na ustawi mzuri
 
Rangi ya kijani ina maanisha I'm single, I available. Not occupied.
 
kumbe mapenzi yanaendeshwa na rangi! ndo mana hayadumu sikuhz! ukiona rangi ya kijani ujue ni fisadi na mwizi si unaona kwenye chama chetu cha ccm.
 
...nadhani rangi nyingine zina maana kwenye maisha ya kawaida tu na hazina tafsiri yoyote kwenye mapenzi/upendo...
 
Green means Money monger

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kuna wimbo fulani nimeuonaga sikumbuki jina hata alioimba ni wa wadada wa nje na katika huo wimbo

wanatumia Vitambaa vya kijani ambavyo viko everywhere kuhamasisha uzazi wa mpango...

Kuumbee!
 
mmm hata sielewi hiyo lazma itakuwa rangi ya chachandu
 
Back
Top Bottom