Wanawake wanahitaji muda gani wa kupumzika ili wafanye tena, baada ya kuridhishwa na waume zao katika tendo?

Kijana kijana

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
2,546
2,616
Wakuu hili swali naomba nisaidiwe.

Kuna ndugu yangu alikuja kuniambia kwamba ana mkewe hana hamu ya tendo la ndoa kwa sababu tangu amuingilie ni siku tatu na hatamani, sasa nikaona ni siku chache mno labda angelikaa wiki mbili au tatu n.k.

Sasa nimeona bora nililete kwenu wadau ili mnifahamishe kwamba mwanamke kwa kawaida anakaa muda gani tangu afanye tendo ili apate hamu aje afanye kwa mara nyingine.

Kwasababu kuna stori alinisimulia jamaa anasema alikuwa anampa dozi mkewe asubuhi na jioni sasa nikajiuliza mkewe alikuwa anainjoi kweli au ndo alikuwa akimridhisha mume tu.

Karibuni wadau
 
wakuu hili swali naomba nisaidiwe.
kuna ndugu yangu alikuja kuniambia kwba ana mkewe hana hamu ya tendo la ndoa kwa sababu tangu amuingilie ni siku tatu na hatamani,sasa nikaona ni siku chache mnoo labda angelikaa wOKki mbili au tatu n.k

sasa nimeona bora nililete kwenu wadau ilUK mnifahamishe kwamba mwanamke kwa kawaida anakaa mda gani tangu afanye tendo ili apate hamu aje afanye kwa mara nyingine kwa sababu kuna stori alinisimulia jamaa anasema alikuwa anamoa dozi mkewe asubuhi na jioni sasa nikajiuliza mkewe alikuwa anainjoi kweli au ndo akimridhisha mume tyu??

karibudi wadau
Miaka miwili na miezi sita na wiki sita saa sita dakika sita na sekunde sita
 
wakuu hili swali naomba nisaidiwe.
kuna ndugu yangu alikuja kuniambia kwba ana mkewe hana hamu ya tendo la ndoa kwa sababu tangu amuingilie ni siku tatu na hatamani,sasa nikaona ni siku chache mnoo labda angelikaa wOKki mbili au tatu n.k

sasa nimeona bora nililete kwenu wadau ilUK mnifahamishe kwamba mwanamke kwa kawaida anakaa mda gani tangu afanye tendo ili apate hamu aje afanye kwa mara nyingine kwa sababu kuna stori alinisimulia jamaa anasema alikuwa anamoa dozi mkewe asubuhi na jioni sasa nikajiuliza mkewe alikuwa anainjoi kweli au ndo akimridhisha mume tyu??

karibudi wadau
Mapenzi ya watu yanakuhusu nini?
 
Mapenzi ya watu yanakuhusu nini?
som tena mkuu Bujibuji nimeuliza kwa binafsi ya wanawake na sikuuliza kuwaulizia hao wapenzi bali huo mfano nimetoa kuonyesha kwamba nimeoata simUlizi tofauti kwa wapenzi mbalimbali.

au kwa maelezo yangu umeona kama nilikuwa nawafatilia vile....?
ndo hivyo mkuu
 
Kauli ya binadamu wote ni sawa ni ya kisiasa tu.
Kila mtu na mahusiano yake wana behave Na mahusiano mengine.
Ukiwa na amani Na furaha Na mwenzio level ya libido inakuwa juu.
 
kwa hvyo mkuu ina maana mkeo akiwa naamani na furaha na wewe huwenda akatamani na akawa tayari mda wowote kupewa dyu dyu?
 
Hamu inategemea na mfanyaji wa kitendo, mihemko ya mwanamke, sasa huyo baba aangalie.
Kupiga 'kazi' asubuhi na jioni hakumfanyi mwanamke kutamani kufanya zaidi kama hujafuata vigezo tajwa hapo juu unachosha, tena sana.
Kingine mwambie huyo jamaa yako amsome mke wake kama anapenda kufanywa sana au hapendi yani hana mihemko mikubwa katika kushiriki au ana mihemko mikubwa.
 
Fanyeni tu, fanyeni, yaani fanyeni hadi mchoke, tena nasema fanyeni tu jamani loooh
 
Wakuu hili swali naomba nisaidiwe.

Kuna ndugu yangu alikuja kuniambia kwamba ana mkewe hana hamu ya tendo la ndoa kwa sababu tangu amuingilie ni siku tatu na hatamani, sasa nikaona ni siku chache mno labda angelikaa wiki mbili au tatu n.k.

Sasa nimeona bora nililete kwenu wadau ili mnifahamishe kwamba mwanamke kwa kawaida anakaa muda gani tangu afanye tendo ili apate hamu aje afanye kwa mara nyingine.

Kwasababu kuna stori alinisimulia jamaa anasema alikuwa anampa dozi mkewe asubuhi na jioni sasa nikajiuliza mkewe alikuwa anainjoi kweli au ndo alikuwa akimridhisha mume tu.

Karibuni wadau
Wataalam wanadai kwa mwanamke inachukua saa 72 kupata tena hamu kwa mwanaume saa 24.
 
Kwa sisi wanaume ni kuanzia dakika 10 baada ya show,lakini kwa wanawake ni masaa 24 unaruhusiwa kumpa dozi tena!
 
Back
Top Bottom