Sudi jr
Senior Member
- Aug 4, 2017
- 135
- 179
Bado najiuliza hainingii akilini sababu za mwanamke kuchepuka, kila nikifikiria wengine wanasema pesa kwani ulivyoolewa haukujua kua mchumba wako ni masikini au ulivyomkubalia Kaka wa watu haukujua kua ni hohehae, wengine ugomvi sasa suluhisho la migogoro ni kupeleka kipochi chako kwa mwanaume mwengine.
Kinachoniçhanganya zaidi ni pale ukiwafumania atatembea na tako moja, Mara atapiga yowe akiomba samahani huku akisema SHETANI KAMPITIA shubamiti kabsa umemfungulia pochi mwanaume mwengine Mara 5 unasema shetani kafanya nini??.
Sasa maajabu ni pale anatokea mwanaume anasema. msamehe, hivi nyie wanawake ni moto wa aina gani unawafaa hapa duniani na huko jehanamu.