Habari za jumapili wana jukwaa la MMU. ..
Hapa labda niende direct kwenye mada kwamba kuna hala katabia kwa wadada kusema kwamba mimi bikra sex mpaka tufunge ndoa sasa
Swali mkifunga ndoa na kama sio bikra utachukua uamuzi gani hili suala huwa nawaza sana labda hapa ntapata majibu ya tofauti inawezekana wapo ambao wana experience tayari