BigBaba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,909
- 9,038
Wakuu tuanze kwa kukumbusha kidogo tarehe 25/4/2017 nilileta uzi huu Huyu mwanamke simuelewi! Anajifanya anajua kila kitu kwenu nikiomba ushauri wa kimawazo. Nashukuru nilishauliwa vizuri, Nilipata masaada sana katika mmamuzi yangu niliamua kukomaa naye kwakuwa bado nampenda nikienda na ule usemi "njoo tu na sura nzuri tabia utazikuta huku huku " leo nmerudi tena kwenu kuomba ushauri na kuwapa mrejesho.
1. Kama nilivyokwisha sema kwenye ule uzi wa mwaka jana kwamba huyu mwanamke tulishafanya taratibu mbalimbali kutaka kufunga ndoa nilikuja kuzisitisha sababu alikuja kupata nafasi ya chuo kikuu kusoma hivyo nikaona ni vyema niwekeze kwanza huko ili apate kutimiza ndoto zake mambo ya ndoa yatafuata nilikuwa nikiishi naye kwa ruhusa ya wazazi wake.
2. Huyu mwanamke kwakweli nilimpenda sana na nilikuwa namtimizia kila anachokitaka tatizo lilikuja pale mwaka jana mwezi wa saba nilisimamishwa kazi ndo hapo vituko vilivyoanza alibadilika sana zarau nyingi nk. Sikujua tatizo ni nini kama mahitaji niliendelea kumpatia kama kawa.
Kuna siku nilimtembelea huko anaposoma kumbe usiku nikilala siunajua baada ya Show huwa kunakiuzingizi flani hivi yeye anatumia muda huo kuchukua simu yangu na kuperuz na kudadis. akawa anachukua namba za mademu wote walioko kwa simu yangu nilipokuja kuondoka anampigia mmoja mmoja na kuanza kuulizia kama kuna uhusiano wowote na mimi kuna waliokuwa wakimjibu vzr na wengine wakimjibu wanavyojua kumtia jelous hivyo hasira zake zikawa anazimalizia kwangu ooh unamademu wengi sijuí nn na mambo kibao, nikawa nashindwa kuelewa huyu mwanamke kakutwa na nini mbona ananitafutia sababu. akawa anadai tuachane hawezi kuishi na mimi nikamsihi tusifanye hivyo
3. Nikienda kumtembelea na kuweka mambo sawa nikafanikiwa kwa hilo. Kinachonishangaza likizo iliyoisha hakuja kwangu wala kwao wadau walinipa taarifa kuwa kaonekana ktk jiji moja maarufu hapa Tz. Pili kwenye profile yake ya whatsapp amekuwa anamuweka jamaa mmoja mara kwa mara ambapo marafiki zake wa karibu wamekuwa wakiniambia ni mpenzi wake wa sasa mimi tumeachana wakati hatujaachana. Tatu nimesikia huyo huyo jamaa anayemtia kwenye profile yake eti kaenda kumtolea mahali huko kwao ili waoane jamaa ni Dk inavyosemekana pale KCMC Moshi habari kutoka kwa wanafunzi wenzake zinadai walikutana hapo Hospital alikuwa kamsindikiza mwanafunzi mwenzie alikuwa anaumwa.
4.Hivyo sasa natangaza kihama kwa Dk huyo wa KCMC popote alipo ama zangu ama zake. Huyo binti mimi nimemtoa mbali kuna vitu vingi sana nmeshindwa kufanikisha ili kumuweka sawa huyo binti hawezi ukasubiri mwaka wa mwisho ndo ujichukulie kiulaini sitokuacha kamwe ufurahi.
Wakuu nitawapeni mrejesho hivi karibuni picha za huyo Dk ushwara ninazo...