Kajilengesha wala sijamtongoza Je nimgegede?

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,535
Habri wana MMU ,
Mpaka sasa nashindwa kuelewa nini nifanye ndio maana nimekuja kwenu waheshimiwa mnishauri juu ya jambo hili.

Kazi yangu kwa sasa ni bodaboda na ninajulikana karibu ushirombo yote kama big

Kutokana na kazi yangu nina wateja wengi , mmoja wa wateja wangu ni huyu mmama ambae ana binamu yake ambae alikuwa anaishi shinyanga ila kwa sasa yupo humu ushirombo kwa muda tu,

Jana nikiwa zangu VATCAN nimepaki pikipiki yangu yule mmama akanipigia simu nimfuate nimpeleke wadutya club nikajua ni dili la pesa ile kufika nikamkuta yupo na binamu yake nikawapeleka ila SIKULIPWA nikamezea,

Na yule binti mgeni inshort kajenga sana mazoea na mimi wakati hata SIJAMTONGOZA nikampima kama ni mpenda pesa kwa kumlengesha kwa jamaa flani pedeshee akakataa na kusema ananitaka mimi tu na mimi nimeshaoa ila sijamwambia kama nina mke ila nina ashki ya kumgegeda tu halafu niachane nae ,

Ila kinachonipa mawazo ni kwamba haitaathiri kazi na kipato changu baada ya kumgegeda manake akili za wanawake wanazijua wao wenyewe,

NATAMATISHA NAWASILISHA
 
Una mke na ashki zako majinuni useme nazo mtaja kufa mwajiona kha!

Mkeo anakunyima nn? Kama hizo ashki zkmezidi s ukaonane na mkeo?

Utapungua kilo shaur zako usipendelee sana unamwamini kias gani?? Je kama mtego huo

Kua makin
 
Hebu kabla hujafuata ushauri JF kwa mijitu ya hovyo ambayo hata huijui, unaonaje swala hili mkalijadili Na mkeo mbele ya wazazi wenu?
 
Una mke na ashki zako majinuni useme nazo mtaja kufa mwajiona kha!

Mkeo anakunyima nn? Kama hizo ashki zkmezidi s ukaonane na mkeo?

Utapungua kilo shaur zako usipendelee sana unamwamini kias gani?? Je kama mtego huo

Kua makin
Tulia wewe MTU achinjweeee
 
IMG_20180505_123535_238.jpg
 
Una mke na ashki zako majinuni useme nazo mtaja kufa mwajiona kha!

Mkeo anakunyima nn? Kama hizo ashki zkmezidi s ukaonane na mkeo?

Utapungua kilo shaur zako usipendelee sana unamwamini kias gani?? Je kama mtego huo

Kua makin
Ushauri mzuri siku expect thank u madame S
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom