Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
38,375
Reaction score
56,096
Habarini waungwana!

Naomba kuwauliza wanaume hapa maana yaonekana wanapenda huu mchezo.

Hivi unaanzaje kumchukua video mpenzi wako mnapokua mnafanya Yale mambo halafu unazirusha kwenye mitandao ya kijamii?

Hivi lengo nini haswa?hamjiskii vibaya au nafsi haziwasuti kwa hicho kitendo?mbona ni udhalilishaji sanaa!!!

Na ukitaka kujua mnafanya haya makusudi Mara nyingi zile video clipo mwanaume haonekani sura zaidi "mdudu" wake tu[emoji22] [emoji22] [emoji22] ila mwanamke anaonekana mpk sura na madoido yote pale kwa majambozi jamaanii!

Wanaume msitufanyie hvyo jamani hata kama mtu ni changudoa au yoyote yule hakuna kitendo kibaya kama kile jamani kinaumaa!

Ule ni zaidi ya uuaji kwa mwanamke!Hivi pata picha Dada ako,mama ako au ndugu yoyote wa kike wa kwako akifanyiwa hvyo utajiskiaje?au hamjui hivi vitu vinaweza kukurudia siku moja kwa namna nyingine?

Mimi bwana ukinifanyia hivi nikishindwa kukuua,sijawahi kuroga mtu ila ntakuroga aiseeehhh!uwe hata chizi maana kwa Mungu mbali kusubiri hukumu!Siwezi kukubali hii aibu aiseeh!

Hata kama tulipiga kwa mapenzi yetu ila kwa nini uzirushe kwenye mitandao tukiachana?

Acheni hiyo tabia mnaumiza sana wanawake.
 
Wengine wanachukua simu anakupiga Picha ukiwa umelala siku mkiachana anaanza kusambaza kwenye mitandao kwa lengo la kukufedhehesha

Wanaume wenye hizi tabia msidhani ndo mbinu ya kumuangusha mwanamke aunt atakosa mpenzi mwingine mnajidanganya sana yani ukifanya hivyo ndo unamfungulia soko mwenzio
 
wakati unafanyiwa hivyo wewe unakua huoni? kama itakua ni dada angu au mama angu si atakua amefanya kwa starehe zake mimi inanihusu nini
 
Wengine wanachukua simu anakupiga Picha ukiwa umelala siku mkiachana anaanza kusambaza kwenye mitandao kwa lengo la kukufedhehesha

Wanaume wenye hizi tabia msidhani ndo mbinu ya kumuangusha mwanamke aunt atakosa mpenzi mwingine mnajidanganya sana yani ukifanya hivyo ndo unamfungulia soko mwenzio
Soko huria eeh.. [emoji1]
 
Kweli siyo vizuri kabisa,hili jambo linahitaji privacy saana,mimi huwa hata kuwa karibu tu na simu sitaki!

Sema kuna wadada wengine huwa wanajitakia wenyewe, unaweza ukamtext tu nimekumiss,ukashangaa kakutumia nudes zakutosha bila hata kuomba,
 
Ukimwona mwanaume mwenye tabia hio ujue ni LIMBUKENI WA MAPENZI NA WA AKILI
NA UKIMWONA MWANAMKE ANAEKUBALI KUCHKULIWA VIDEO/PICHA NA MPENZI WAKE WAKATI WAKINGEGEDANA UJUE HUYO MWANAMKE ANAMSHAWASHA KWENYE MWILI WAKE[emoji1321]
 
Nadhani ni ukosefu wa ubinadamu sababu walio wengi huwa wanaitumia kama fimbo ya kuwachapia wanawake hasa pale wanapokuwa wameachana.

Pia kwa mbaali huwa siibariki hii tabia ya kurekodiana video muda wa yale majambo sababu sioni kama kuna faida.

Mie naona hayo mambo tuwaachie wale wafanya biashara wa hizo video za Ngo*o.
 
Wengine wanachukua simu anakupiga Picha ukiwa umelala siku mkiachana anaanza kusambaza kwenye mitandao kwa lengo la kukufedhehesha

Wanaume wenye hizi tabia msidhani ndo mbinu ya kumuangusha mwanamke aunt atakosa mpenzi mwingine mnajidanganya sana yani ukifanya hivyo ndo unamfungulia soko mwenzio
Msikubali kupigwa picha za namna hiyo mnadhalilishwa nanyi mnakubali tu

Matokeo yake mnakunywa hadi sumu mnajiua
 
Wengine wanachukua simu anakupiga Picha ukiwa umelala siku mkiachana anaanza kusambaza kwenye mitandao kwa lengo la kukufedhehesha

Wanaume wenye hizi tabia msidhani ndo mbinu ya kumuangusha mwanamke aunt atakosa mpenzi mwingine mnajidanganya sana yani ukifanya hivyo ndo unamfungulia soko mwenzio
[emoji22] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unamfungulia soko
 
Nadhani ni ukosefu wa ubinadamu sababu walio wengi huwa wanaitumia kama fimbo ya kuwachapia wanawake hasa pale wanapokuwa wameachana.

Pia kwa mbaali huwa siibariki hii tabia ya kupigana picha muda wa yale majambo sababu sioni kama kuna faida.

Mie naona hayo mambo tuwaachie wale wafanya biashara wa hizo video za Ngo*o.
Lakini rafiki mimi sidhani kama wote wanachukuaga kwa lengo la kurusha mitandaoni labda hilo wazo linakujaga baadae baada ya tatizo fulani kutokea...
 
Back
Top Bottom