Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Chawa ni mdudu anaeishi kutegemea mwili wa host, kwa lugha nyungine wanaitwa parasite. Chakula cha cha chawa ni damu. Chawa huruka kutoka kwa host mmoja kwenda kwa mwingine na hitaga mayai na kuzaliana kwenye nywele za host.
Watoto wanapokuwa wanacheza ni rahisi sana kuambukizana chawa. Chawa hupenda nywele laini na hasa zile zisizozojaliwa kwa usafi.
Mtoto anapopata chawa usimlaumu kuwa anacheza na watoto wachafu, ni vizuri ufahamu kuwa kuna dawa katika pharmacy kubwa zinazosaidia kuua chawa.
Ni vizuri kuhakikisha weekend nywele za watoto zimeoshwa na kukaushwa vyema na kusukwa upya tayari kwa Jumatatu.
Wengine wanasuka watoto rasta ili kuepuka busumbufu wa kumpeleka mtoto saloon kila weekend. Mtoto aliyesukwa Rasta akaguliwe kila mara na kama kuna mayai ya chawa nywele zifumuliwe na kuoshwa na jukaushwa vizuri.