DINI & Uzuri (Urembo) wa wasichana

DINI & Uzuri (Urembo) wa wasichana

TOHATO

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
1,493
Reaction score
5,394
Hbr wana JF

Kutoka kwenye kichwa cha uzi moja moja uzuri naosemea hapa ni ule wa muonekana wa njee na sio tabia.

Kwenye kupita kwangu kote ni mara chache sana nimeona ma bint warembo (wazuri) wakijihusisha na dini NA TATIZO SIJUI NI NINI HAPA?

Kama atakuwepo bas jua anatatizo ambalo linaitaji faraja kwan hilo ni moja ya kazi ya dini dunia. Matatizo hayo yanaeza kuwa MAGONJWA SUGU NA IMANI ZA KISHIRIKINA ,,,

Au utamkuta yupo ki nafki lengo lake akiwa anaangalia HELA mana hawa dada zetu unaeza zani wamezaliwa BoT.

Je nini hasa latenganisha urembo au uzuri kwa wasichana na Dini??
 
Wapo wengi ambao ni warembo haswa na wanamikoko ya maana wanasali/wanaswali tatizo ujawai kutana nao au kuwafahamu.
 
Back
Top Bottom