Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimekuja tena malkia wa chumbani lol....kama nawaona mnavyosonya Back to the topic yaaan jaman hakuna raha kama kipindi hichi cha mvuaa uwe upo na baby wako mpo on bed mmelala esp usiku huu...
6 Reactions
67 Replies
7K Views
Habari za usiku huu, Awali tulizoea wanajeshi ndio wanaoongoza kwa umalaya sana (kwa wale wanao kaa kambini mnanipata) kwa sifa walizo nazo wanajeshi mpaka inafikia ukikuza mtoto akimaliza la 7...
2 Reactions
44 Replies
7K Views
Ningependa jamii yetu itoe maana mpya ya kuwa Mwanaume, Uanaume upimwe na Mwanaume anayemiliki majukumu ikiwa ni pamoja na kulea kuhudumia Familia yake na isiwe kama ilivyo sasa sijui ulijali mara...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kila mwanamke ana ndoto ya kuolewa harusi kubwa na mwanume mzuri mwenye kazi au kipato kizuri. Huyo A star mr handsome aliens wangapi tangu shule awe anakusubiri wewe? Ukiingia kwenye mahusiano...
34 Reactions
242 Replies
17K Views
Jamani nimekaa hapa nimewaza wanaume shughuli mnayo. Unakuta mwanaume anamhitaji mwanamke fulani anafanya yafuatayo:- 1. Anamlipia Tax au Uber mpaka sehemu alipo. 2. Anamnunulia chakula na...
11 Reactions
58 Replies
6K Views
rt
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wakuu. Natafuta msichana au mwanamama mmoja ( asiwe mkubwa sana) anayejua kufanya kazi za ndani ( house girl) pia na kusimamia baadhi ya biashara zangu . Asubuhi hadi saa 4 atafanya kazi...
3 Reactions
99 Replies
7K Views
WanaJF mm ni msichana mwenye miaka 22 tu na nina ndoa ya miezi 4. Tangu niingie kwenye ndoa siifurahii ndoa yangu kwa maana ya tendo la ndoa. Kwasababu kila nikifanya mapenzi na mume wangu nahisi...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Hii meseji nilitumiwa saa mbili na nusu usiku, aliyenitumia namfahamu vizuri lakini tunaheshimiana sana. Ni takribani miaka mitatu sasa imepita lakini bado nalikumbuka vizuri hili tukio. Meseji...
37 Reactions
148 Replies
16K Views
You and your boyfriend, your doing great. He isn't the richest guy, but you are good with what he affords you. He tolerate the things you do. You love yourself so much and you miss him when he...
0 Reactions
3 Replies
731 Views
Imefikia kipindi nimekuwa addicted na kuwaweka tu msaga sumu halafu nasepa.Sijawahi kumuweka mwanamke moyoni japo inafika hatua mwanamke mwenyewe anaona na kuwambia marafiki zake huyu ndo...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari wakuu, Kiukweli kutokana na mambo ya majukumu ya kazi etc kidogo nimekua outdated na haya mambo ya out dates etc. kama nahitaji ugimbi basi natafuta tu baa iliyokaa kiustaraab nashuka zangu...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Ndugu zanguni, nimejitahidi sana kujishusha na kumpenda mke wangu ambaye ni mjaluo, kosa eti nimerudi SAA mbili usiku nimekunywa pombe kidogo imekuwa taabu, Ndoa zipo hivyo? Nimeshatoa kibali...
7 Reactions
67 Replies
4K Views
Wakuu, Jamaa yangu mchumba wake kaposwa, na mchumba wa jamaa kakubali ndoa. Ameniomba ushauri,nimemwambia akubali tu matokeo hataki ushauri huu kwa sasa, anachotaka yeye ni kujua namna gani...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Source kutoka Nifahamishe.com zinaeleza kuwa Matokeo ya DNA yamethibitisha kuwa yule mtoto aliyetangazwa kuwa baba mdogo kuliko wote Uingereza akiwa na umri wa miaka 12, sio baba wa kweli kama...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Kama upo kwenye majonzi ya kuachwa tukutane hapa, na utwambie ulipoachwa bila sababu kitu cha kwanza ulifanya nini, na ulizoea hali hiyo baada ya muda gani? Kwa kifupi mi nimeachwa jana, bila...
3 Reactions
64 Replies
5K Views
Niwashauri tu ndugu zangu ukiachana na mpenzi wako usigombane na ndugu zake wa kike au Rafiki yake wa kike.Unajua tunapoachana na nyie huwa tunawaponda vibaya mno. Alikuwa na kibamia, alikuwa...
13 Reactions
116 Replies
11K Views
Salaam jf Kama somo lilivyo hapo juu mara nyingi nimetokea ksikia watu wakiongea kuhusu kupata mikosi baraka kwa maana ya mambo yao kuwaendea sawa, je kuna ukweli wowote juu ya hili na kama kuna...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Jana nimepost uzi wangu natafta mchumba haukuweza kuishi hata Kwa masaa mawili, Ni vigezo gani vinamfanya moderator anaweza kuondoa thread ya aina hiyo
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Una mke mzuri nyumbani anakupikia na kukufulia lakini bila ya aibu unarudi na shati lenye lipstick. Kwakuwa una guilty conscience unaliweka kwenye laundry basket haraka haraka usiulizwe. Hivi...
46 Reactions
525 Replies
42K Views
Back
Top Bottom