Tofauti ya mke/mume na mchepuko; tupeane uzoefu binafsi

emres

Member
Feb 19, 2018
50
31
Wakuu nawasalimu,

Leo tupeane tofauti zilizoko kati ya mke/mume na Mchepuko. Tofauti hizi zitokane zaidi na uzoefu binafsi, kwa kiingereza tunasema (personal experience)

Naanza na mimi mwenyewe.
Tofauti kubwa ipo kwenye kufanya mapenzi. Wanawake wenye ndoa zao wana tabia ya kutoa tendo la ndoa kama liturujia fulani hivi, mara hataki, mara mpaka utimize kigezo fulani.

Ilimradi shiida tu. Nadhani kwa sababu anajua yeye ni mke wa ndoa, mmezaa naye watoto na pia mmechuma wote mali mliyonayo kwa hiyo hana wasiwasi anajua mume wake yupo na ataendelea kuwepo hata kama asipompa papuchi vizuri.

Mchepuko yeye anafahamu fika kuwa mwanaume katua kwake kwa sababu ya uhitaji wa papuchi. Hivyo wanatoaga anytime hata usiku wa manane. tena bila hiyana.

Hii ni tofauti kubwa sana ninayoiona mimi kati ya mke na mchepuko.

Hebu tupe uzoefu wako. Tafadhali (be positive) na usikashifu mtu.
 
Ni kweli kabisa mkuu mchepuko anakupa style yoyoteile na anajituma mpasipo mfano na kama umepiga kimoja atafanya juu chini kuhakikisha unapiga kingine. Tuje kwa mke sasa hicho kimoja tu utasikia baba flani bado tu mimi nausingizi
 
Ni kweli kabisa mkuu mchepuko anakupa style yoyoteile na anajituma mpasipo mfano na kama umepiga kimoja atafanya juu chini kuhakikisha unapiga kingine. Tuje kwa mke sasa hicho kimoja tu utasikia baba flani bado tu mimi nausingizi
Umenea vyema mkuu. Mchepuko wanaokoa hasa
 
Toafuti nayojua mie mke na mume mmeoana kihalali huyo mchepuko ni mwendekezo wa tamaa za kimwili tu na mambo mengine
Ndio maana tunapeana udhoefu binafsi maana ni kitu ambacho kinafanyika sana katika jamii
 
Katika kuchepuka kwangu kote,mpaka sasa bado sijakutana na mchepuko ambaye anamzidi wife kwa chchote, iwe kwenye kugegedana napewa papuchi wakati wwte,tena kwa ushirikiano mkubwa kabisa,

Yaani hadi kuna wakati najiuliza kwanini nachepuka!
Eheee.. Sasa nini kinakufanya uchepuke kama wapata kila kitu vizuri. Natamani kupata udhoefu wako mkuu
 
Mwanaume kamwe hawezi fananisha mchepuko na ...na MKE wake.....kabisa......ile ni zinaaaaa.......mke atabaki kuwa mke...
Huyo anayeitwa mke na kuonekana anastahili kuheshimiwa kwa kuwa mke, anaweza vile vile kuwa mchepuko wa mwanaume Fulani. Dunia ina mambo mkuu
 
usipompa mnamwagana! hauwi mchepuko tena
Mkuu mchepuko ni kitu cha ziada. Wala usiwaruhusu wakupe pressure au stress. Akizingua unampiga chini ila kama ana shida ya pesa, msaidie kabisaa usimwachee hewani maana sio vizuri
 
Back
Top Bottom