Kipimo cha kumgundua Msaliti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipimo cha kumgundua Msaliti

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pinokyo Jujuman, Aug 30, 2012.

 1. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kama mtu unataka kumgundua mpenzi wako kuwa ametoka kukucheat a day before hamjakutana au the same day mmekutana kimapenzi ni mambo gani ya msingi yanaweza kukufikisha kuibua ukweli huo hasa pale muwapo kwenye majambozi?
   
 2. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  Unahisi unaibiwa nn lol
   
 3. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kwa nini uishi kwa kuchunguza mabaya tu??
  Hakunaga makombo bwana...
   
 4. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  What are you looking for?
  Imani imeisha, achaneni kwa usalama!
   
 5. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuachana ni hatua ya mwisho kabisa mkishindwana na umeona mtu haambiliki
   
 6. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenzangu zama hizi wala si za kuaminiana kwa asilimia zote bora mfahamiane uzuri uone namna ya kurekebishana mapema
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Sasa kama mnaweza kuongea Kama 2 adults na kureason kuna umuhimu gani wa kumnusa K yake kama ametoka kutiwa au sio!?
   
 8. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmh hata kam ahakuna makombo, lkn huna budi kumfaham na kujua mwenendo wake hasa kwa umtarajiye kuwa mzazi mwenzako
   
 9. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  mwanamke au mwanaume?
   
 10. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh hiyo hapana ya kumnusa K, ni heri uwe na uhakika kwanza ndo mfike huko tofauti na hapo kama hajatoka kuduiwa ni utakuwa ugomvi mwanzo mwisho, suala la maongezi daima ni tata hasa kama huna evidence ziletazo fikra hizo
   
 11. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanamke
   
 12. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  halua haina makombo babu, je we ni msafi 100%?
   
 13. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Nikikujibu umnuse K utasikia harufu ya shahawa?
  Au uichunguze K kama ina utelelezi utelelezi?

  Naona hata huna uhakika wa nini unachotaka kujulishwa!
   
 14. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #14
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,393
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  kama upo kwenye ndoa my dear hicho unachotafuta kitakugharimu sana wewe. sahivi technology imechange mpaka kwenye mapenzi full advancement ukijua hili wenzako wanajua lile. kuwa makini acha kutafuta shali utachizika na kupoteza muda mwingi sana.
  sent from my htc chacha via jamii forums
   
 15. c

  christmas JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 2,603
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  pole mkuu, kikubwa huwezi kumcontrol mtu mzima hapo kinachotakiwa ni kila mtu ajue kua anatakiwa kutunza na kulinda penzi kwa faida ya wote wawili
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  naona manyoya ya bata mzinga
   
 17. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  He! sounds like postmortem!
  Itabidi awe anachora na chaki sasa..
   
 18. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  hivi jamani kwanini kwanza uish na mtu usomwamiani hadi ifikie huko? to me if someone doesn't trust you it means that love is not there and if that is the case you better think of the means to remediation. ila mkuu if ni gf wako u dont need to go that much far beta ukonsetrate kwenye mambo mengne ya msingi kuliko kuchimbua atakayokupa jaka moyo.
   
 19. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kuna mi-guberi mingine, kuigundua hata lie-detecter inagoma! Bora tu udanganywe tuu,ukijua ukweli utaumiaa
   
 20. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mwambie dadaangu..
  Unajua hata sielewi mtu anatoa wapi guts za kuishi na mtu ambaye kila wakati anamuwazia kuwa anamcheat??
   
Loading...