Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wadau, Leo jioni nimepokea simu kutoka kwa aliekua mpenzi wangu wa zamani, amenipigia simu na kuniomba msamaha kwa alionifanyia miaka 5 ilopita. nilimpenda sana kuliko hata nilivyojipenda...
10 Reactions
97 Replies
13K Views
Wakuu za asubuhi, Kiukweli ubachela ni shughuli nzito, kuna binti mmoja nilielekezwa na dada mmoja jirani kua hua anawafanyia usafi watu majumbani kwao. Akanipa namba nikamtafuta ili aje aokoe...
3 Reactions
67 Replies
5K Views
Jamani jamani kwani ukiona mmeshindwana na mme /mke/mpenzi /mchumba si unamuacha tu mpaka umtoe roho yake,visa vya wanaume kuwauwa wanawake vimezidi,kwani nyie wanaume hamuwezi kuachana na mwanMke...
4 Reactions
55 Replies
4K Views
Wanawake wanaojiuza Wanapewa majina yote mabaya lakini wanunuzi ambao ni Wanaume hawaguswi Thamani ya bikra ni kwa mwanamke tu hakuna mwanaume atakayeulizwa kama ni bikra Lawama zote ni kwa...
9 Reactions
28 Replies
3K Views
Don’t shout at your wife when you are talking. It really hurts her. Proverbs 15:1 Do not speak evil of her to anyone. Your wife will become...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Moja kwa moja vijana wa sasa tumekuwa tukilaumiwa kuwa na tabia mbaya zilizokithiri kama uvutaji wa madawa ya kulevya,wizi,ubakaji,ushoga,usagaji,ulevi,kiburi,ugomvi,mavazi yakileo n.k.. Huku...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habarini za sahizi wapendwa, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Siku hizi tumekua tukishuhudia kina mama na kina dada wanavyojitahidi kujiinua wao wenyewe kiuchumi. Wakijikita hasa kwenye...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za jioni waungwana, Hili ni swali tu ambalo najiuliza na mpaka sasa sijapata jibu. Je kuna njia yoyote/ chakula/kinywaji chochote ambacho chaweza tumika kuongeza ashki ya kufanya mapenzi...
4 Reactions
78 Replies
22K Views
sikia hii; kijana mmoja hivi wa mtaani kwetu ni bingwa sana sana wa kula mademu wa kitaa, na kijana huyu anajisifu sana kuwa kwa mara nyingi mademu ndio wanamtogoza lakin yeye hana time nao...
1 Reactions
70 Replies
8K Views
Ni mwanamke mwenye umri wa miaka 30 Kazi yangu mwl...natafuta mwanaume aliye tayari tufunge ndoa kuanzia 30yrs hadi 45 Awe muislamu na mapenzi ya dhati! Aliye tayari aje Pm Ahsante!
5 Reactions
41 Replies
6K Views
Mm ni msichana nimeajiriwa serikalini natafuta mume anayejua thamani ya mwanamke. miaka 35 - 45. akitokea Dar, Tanga, moshi, pwani na moro.
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Wasalaam wana MMU Nipo na majonzi ,nilijua nimepata kumbe nimepatikana Ni wiki kadhaa nyuma nilikutana na binti flani mwembamba kadogo dogo hivi nikamtia vokali binti akanielewa Tukaanza...
2 Reactions
58 Replies
7K Views
Baada ya kumaliza shughuri zangu za hapa na pale majira ya usiku nikamtumia ujumbe wa maandishi mpenzi wang kumjulia hali anaendeleaje sababu uwa nikawaida yangu kufanya hivyo hususani pale siku...
8 Reactions
55 Replies
5K Views
Nayasema haya leo kutoka moyoni mwangu nilikua kivuruge sana hadi nikawa najiogopa na yote hayo yalisababishwa na damu changa na pepo la tamaa. Mda huu nimekaa na kufikiria vitu gani natenda...
8 Reactions
35 Replies
4K Views
Nimeipost kama nilivyoipokea "Mzee hiyo ni kweli wala sio utani. Kuna mzee mtu mzima sana aliniambia wanaume huwa hatujitambui. Hela ya chakula unamkabidhi mama chumbani. Mama anatoka na kapu...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwakweli nyumba zina mengi! Kuna jirani hapa analalamika mumewe ana wiki mbili hali nyumbani na hata akitengewa chakula hali! Hiyo ni baada ya mke kuwa anahemea mwenyewe (anabangaiza vihela...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Mke alimhisi mmewe kuwa anatembea na housegirl wao kutokana na ukweli kuwa, housegirl alikuwa mzuri mno kimuonekano, kiumbo na kwa sura. Alifikiri kumfukuza ila mme aligoma kutokana na uchapakazi...
5 Reactions
38 Replies
12K Views
Habari zenu wakuu. Kumekuwa na kilio kikuu sana cha namna ya kuacha tabia mbovu katika maisha hususani MASTURBATION, UVUTAJI WA SIGARA, KUPENDA MAGOMVI, HASIRA KALI, TAMAA YA NGONO ILIYOPINDUKIA...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Wazee kama nilivyowadokezea hapo juu. Huyu jamaa tuko nae nyumba moja (2 in 1) ni bachela ila kwa uchunguzi nilioufanya kwa muda jamaa anamtongoza mke wangu. Japo mke wangu hajaniambia ila...
10 Reactions
238 Replies
26K Views
Leo Ijumaa mzazi anakwenda kupata kunywaji baada ya kazi, wale wanaofanya kazi Jumamosi watawahi kulala kwasababu ya kazi, wengine Jumamosi Mama anawahi saloon kutengeneza nywele za kitchen party...
8 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom