Nataraji wote mko salama, leo nimeangalia mahojiano na mke wa marehemu prof maji marefu aliyekuwa mbunge wa korogwe vijijini,Na ninaongea kuhusu alwiya habib, amae ni mke wa marehemu maji marefu...
Ningekuwa mwanamke nisingekubali kuolewa na hawa wanaume wanaovalia suruali zilizowabana vilivyo huku zikiwa chini ya makalio. wanatembea wakiwa wametanua miguu.
Nisingewakubali hawa wanaume...
Utamaduni wa watu wa nchini Kyrgyzstan unaruhusu kijana wa kiume kumteka kwa nguvu binti yeyote anayetaka kufunga naye ndoa.
Huu utaratibu ulikuwepo hata kwa wahaya, ukimtaka binti akazingua...
Heri ya siku ya Leo ndugu zangu.
Jumapili ya Leo imekua ya baraka kwangu, nikiri mimi na dhambi sasa basi hasa uzinzi nimefuta namba zote za waliokua wazinzi wenzangu na sasa naanza na...
Nahitaji marafiki wa kike na kiume wenye vision ya kusonga mbele na maisha
Umri kuanzia mika 30 hadi miaka 45 hivi
wasiwe walevi
Preferebly wawe Arusha au Moshi
Aliyeko tayari pm tuone kama kuna...
Waswahili wenzangu hii tabia ya kwenda kwa mtu usiku bila taarifa yeyote halafu unategemea ule na mambo kama hayo, hivi unategemea watu wajiandaeje sasa?
Hivi kwa nini mnaendekeza hii tabia...
......muwe Busy na kufanya Papuchi kuwa Bora..Ajabu mko Busy na Xternal tu wakati Jiko Bovu.
Ndo maana Mabaharia wakishapiga Show awarudii tena.
#Mizigo Mibovu Ndo maana wadau Wanaamua kuruka...
Habari za majukumu ndugu.
Nina Rafiki yangu Ameniambia nitamfutie mke
Nimetafuta mtaani hapa Nimekosa Nimeamua kuleta Tangazo humu MMU.
Sifa za mwanamke
Elimu Darasa la saba mpaka form 4...
Jamaa wa kicongo apewa sumu kwenye chakula na mkewe na baadae kumrekodi akiwa anakata roho... kisa nini? eti kugombania pesa ya child benefits na working tax credit[emoji1322][emoji1322]
Inna...
Brother na sister mfano wew uko dar na mpenzi wako iko mkoani ...siku ukisikia anakwambia eti Leo najihisi kuchokachoka nitalala mapema.. juwa usiku huo atakuwa machinjioni ...
Sent using Jamii...
Jamani wanasaikolojia nimekula kibuti cha nguvu nikakubali lkn cha ajabu mtoto hata salamu yangu haitikii amenichukia balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni kujua kutokana na experience yenu mlioa ni kweli ukioa utakuwa unakula vizuri zaidi ya ulivyokua unakula kabla ya kuoa.
Jibu ni ndio au hapana..
Uzi tayari.
Anasema hayupo tayari kuhamia Lutheran.
Anadai abaki kwenye dhehebu lake na mimi nibaki kwenye dhehebu langu hata tutakapoingia kwenye ndoa.
Wakuu hali kama hii si kukaribisha migogoro ya hapo...
Kuna masuala tu nayawaza waza hapa;
Hivi ni adhabu gani ya kumpatia mwanaume ambaye utagundua anatembea na mke wako?
1. Kumuua
2. Kumpiga tu
3. Kumdhalilisha na kucheza na tigo
4. Kumtembeza mtaa...
Wandugu
Naonbeni maoni yenu jaman maana sasa too much ,kuna binti nilisoma nae primary anaitwa Rehema uyu binti kiukwel alikuwa akinivutia sana hata mara kwa mara nilikuwa siachi kufika shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.