Jamani wanasaikolojia nimekula kibuti cha nguvu nikakubali lkn cha ajabu mtoto hata salamu yangu haitikii amenichukia balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo walivo. Kaza moyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu inategemeana na Mwana sasa kama choka mbaya asahau...!! Ila pia anaweza akawa anamchora jamaa kama kweli ana nia naee so mwana akomae japo hizo ni enzi za kina mama zetu siku hizi Pesaa tuu...Hizo ni dalili njema. Mpotezee kama wiki mbili hivi, ukija kurudi, utaona response yake itakavyokuwa nzuri!
Umemaliza... Akimtoa out moja akamtumia kavocha ka hata buku 2 bhasi ashamteka.. Sio demu anamwambia sina Credit jamaa anasema bhasi ukiweka utanitafuta baadae...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji849][emoji15][emoji15][emoji15] Hapo sahau aisee...
Utakuwa unafanana na harmorapaJamani wanasaikolojia nimekula kibuti cha nguvu nikakubali lkn cha ajabu mtoto hata salamu yangu haitikii amenichukia balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kujiona na wewe ni wathamani piga chini hata hiyo salamu just keep her out of your mind jali yako kwani yeye amekuwa mama yako kiasi kwamba akinuna ndo upate mastress.. kuna binadamu wanajiona wao matawi ya juu na wewe jitie utawi wa juu atakaa njema tu ***** zake
Ndio mkuuJifunze kujiona na wewe ni wathamani piga chini hata hiyo salamu just keep her out of your mind jali yako kwani yeye amekuwa mama yako kiasi kwamba akinuna ndo upate mastress.. kuna binadamu wanajiona wao matawi ya juu na wewe jitie utawi wa juu atakaa njema tu ***** zake
Yeye kanipa kibuti nikekubali cha ajabu ananinunia nikikutana nae anakunja sura balaa nimeacha kumpa salaam ilaakiniona duuh kama polisi na bavicha