Wanawake badilikeni

moyafricatz

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
1,997
2,000
Jamaa wa kicongo apewa sumu kwenye chakula na mkewe na baadae kumrekodi akiwa anakata roho... kisa nini? eti kugombania pesa ya child benefits na working tax credit

Inna Lilah wa Inna ilayhi rrajiuun Allah amsamehe makosa yake kwa dhulma aliyofanyiwa kinamama ni viumbe dhaifu na katili sana ndiyo maana kwa upande wakisema mara moja tu nipe talaka yangu wala simwambii hebu rudia tena duh.


Wanawake badilikeni. View attachment VID-20190223-WA0007.mp4
IMG-20190223-WA0006.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
38,772
2,000
Aise.. Mimi na matajiri wenzangu kina (jef bozos .Mack Zuckerberg.billgert Ellen musk and Co )tuna mkakati wakuhamia Mars huko " ili tupate kuwaachia hii dunia yenu iliyojaa visanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
16,019
2,000
Lkn ufaham neno hili lakua. Siku za mwisho kutakuwepo na nyakati za hatari ,maana watu watakua,wenye kujipenda wenyewe, wapenda pesa na anasa, wasaliti. Wenye roho za utaua. Wasiotii wazazi, wakali. Wakaidi......
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
10,119
2,000
Kamilisha stori basi , Imetokea nchi gani na mtuhumiwa amechukuliwa hatua gani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom