Anatafuta mke wa kuoa

geesten66

JF-Expert Member
Sep 14, 2017
1,388
2,000
Habari za majukumu ndugu.

Nina Rafiki yangu Ameniambia nitamfutie mke

Nimetafuta mtaani hapa Nimekosa Nimeamua kuleta Tangazo humu MMU.

Sifa za mwanamke

Elimu Darasa la saba mpaka form 4 asizidi Elimu zaidi ya hapo

Umri 25/28.

Dini Muislamu

Asiwe mwembamba sana wala kibonge sana.

Sifa za Mume.

Elimu ya Dini

Umri 25

Urefu wakawaida

Rangi ya ngozi maji ya kunde

Kazi mfanya biashara.

Kazaliwa Dar kakulia Dar

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
5,542
2,000
hawa watu wenye elimu ya dini sijui huwaga wana udhaifu gani(dini zote si uslam tu), yaan huko kote kwa watoto wa mashekh amekoswa(hadi anakuomba umtaftie) tena hum ndipo unadhani atapata, aseee kama yamemshinda ya huko mtaani kwake anakoishi walahi huku atakuja kujamba bure, tena ktk mabint ambao wapo simple wakisikia habari za ndoa ni watoto wa kiislam yan kuanzia mahali, process za ndoa ni bei chee, mwambie kama vp aonane na viongozi wake wa kidini watamptia mke bora kabisa!!

Kwao wanataka aoe single Mather yeye hataki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom