Namuota mara kwa mara nin nifanye?

Namuota mara kwa mara nin nifanye?

Issakson makanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2016
Posts
874
Reaction score
1,463
Wandugu
Naonbeni maoni yenu jaman maana sasa too much ,kuna binti nilisoma nae primary anaitwa Rehema uyu binti kiukwel alikuwa akinivutia sana hata mara kwa mara nilikuwa siachi kufika shule maana nilikuwa napenda kumuona
Kweli Rehema alikuwa mzur kwangu mim japo wengine walimwona wa kawaida,tulivyofika darasa la 5 nilijitahidi sana kumuandkia barua mbalimbali lkn hakuchukulia serious , kiukwel nilishindw kabsa kumtongoza ana kwa ana kwa kuwa nilishindw hata kutoa neno kuna siku moja Stanley alinikutannisha nae makusudi lakin nilishindwa aliiishia kunicheka sana,tukamaliza primary yeye akaenda kusoma mbali na mim kwa kuwa mzee wake alikuwa anfnya kaz TRA akampelek private mi nkabki government hyo ilikuwa 2006
Sasa imepita takribani miaka 13 sijui Rehema yuko wapi nilskia alikwama kidogo Form 4 ila alibahatik kusawazisha akamalza form 6 na kwenda NIT
Jaman katika kipindi cha miaka 13 kila mwez lazima nimuote Rehema inafika kipindi nkiota nilipoishia bas kesho naendeleza apo apo,niliwahi mshirikisha rafki yngu edo lakin zile ndoto haziishi ,mim kwa sasa na mke lakin bado namuota huyu binti nifanyaje maana boxer zinachafuka kila siku mpka mwenzangu anachkia ila hawez niambia

Rehema rehema mpka Lin?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubwa jinga, kweli ww Juma Maharage, yani una miaka 57 bado unateswa na mapenzi ya utotoni?

Screenshot_20190220-204822.jpeg
 
Back
Top Bottom