Hii iwe funzo kwa mabinti wadogo wadogo

Hii iwe funzo kwa mabinti wadogo wadogo

Herr muller

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2018
Posts
1,017
Reaction score
1,214
Nataraji wote mko salama, leo nimeangalia mahojiano na mke wa marehemu prof maji marefu aliyekuwa mbunge wa korogwe vijijini,Na ninaongea kuhusu alwiya habib, amae ni mke wa marehemu maji marefu. hayo mahojiano yako hapo global tv, Nimegudua wakati maji marefu anaoa huyu binti yeye maji marefu alikuwa na miaka 60 na binti alikuwa na 23, diffrence ya maika 37. Si uamuzi wangu kuamua nani aoe nani la, .

Lakini niko kitu nataka mabinti ambao wanaolewa na wazee wa miaka ya mababu zao wachunguze mambo fulani, kwanza huyu mume ako na mke au wake, na je alioa hao wake au mke lini?nasema hilo sababu ya zile nimesikia kwa hayo mahojiano na pia kwa yale yamemukuta huyu mke wa marehemu alwiya,nimefahamu baada ya kusikiza mahojiano yote ya kuwa maji marefu alikuwa na wake wawili , lakini moja kafariki, na huyu mke wingine walioana na maji marefu zaidi ya miaka 20 iliyopita, ila huyu alwiya aliolewa miaka 2 iliyopita, sasa ukiangalia hapo utakuta huyu mke wa kwanza ndie walitafuta mali na maji marefu, na kamwe haiwezekani mke kaolewa kaaa na mume zaidi ya miaka 20, .

Wakatafuta mali, alafu kabinti ka miaka 23 kanakuja kuolewa na kisha huyu binti aaze kufikiria atapewa ile mali, na haijalishi ati dini inaruhusu waisilamu kuoa hata wake 4, swali ni huyu binti aliolewa miaka 2 iliyopita anaweza kupewa mali sawa na yule mke ambae aliolewa zaidi ya miaka 20 na ndie walitafuta mali na marehemu ,jibu ni haiwezekani, na tena cha ajabu maji marefu aliweza aje kuoa muislamu ila hali yeye alikuwa mkiristo, lakini naona cheti cha ndoa alijiita alhaj maji marefu stanley, yaani alisilimu , na nia ya kusilimu ilikuwa moja tu, .

Kuoa huyu binti alwiya, na hakuna mtu ambae hajui hilo, lakini ni haki yake kusilimu, na kuwa muislamu, lakini huyu binti asifikiri kuna mali atapata toka kwa maji marefu, na hii ndio nataka mabinti hao wadogo ambao wanaolewa na wazee wajiulize,nje kaa ni wao walikuwa wanahangaika na huyu mume kisha baada ya miaka hio yote, utajiri uko sasa, wanaweza kusikia aje huyu mume wao akioa kabinti ka miaka 20 au 24?sina shinda na binti ambae anaolewa na mtu amemuzidi na umri hata wa miaka 30, ila tu iwe huyu mume hajawai oa mke maishani wake au washatengana na mke wake, yaani sasa huyu mume ako pekee hana mke, hapo sina shinda, lakini si uje uingilie nyumba ya mke wenzako wakati wewe ni kaa binti ya mke wenz.

Haja yako ni kula na kuponda mali ambao wakati ilikuwa ikitafutwa ulikuwa bado hujazaliwa au ulikuwa unaenda choo kwa diapers, wasichana achane tamaa, ombeni mungu atakupa mali na mume kwa njia aijuae mungu muumba bingu na nchi,dunia hii ni mali yake yote, bibilia inatufundisa tuombe na tutapewa, wake na waume, mungu hajapungukiwa na chochote, mungu kaongea na nyota, mwezi, njua, miti, wayama na mali yote ikawa, mungu leo anaweza ongea neno moja tu kwako na maisha yako itabadilika, naamini katika chote kile bibilia yangu imenena, so mabinti kuweni na amani na uaminifu, wakati wa mungu ukifika utabarikiwa kabisa, namuonea huyu mke wa marehemu maji marefu alwiya huruma sana, omba dada yangu usiingie katika hayo, mubarikiwe yote kwa jina la aliye hai yesu wana wa daudi. amen
 
Umeongea point chalii angu ya Kibera. Ila hawatakusikia.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wewe ndio Msemaji wa Familia ha Profesa au wa Wanawake Wadogo? mbona hata Babu na Bibi zetu wengine walioa na kuolewa na wanaume wenye umri mkubwa na hutusemi? Usiwe kama nyani!
 
Usikute wewe ndo unawaza kuhusu Mali lakini Hugo binti alikuwa hawazi hill lakini kama ulikuwa na uchungu sana kuhusu Mali na ungemwambia Maji marefu ukuoe wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sijakuelewa kuoa au kuolewa ni maamuzi ya mtu mwenyewe na kuolewa na tajiri sio kufuata mali na we we mke uliyetangulia kutangulia kuolewa sio kibali cha kuhodhi mali uislamu uko vizuri kila kitu kimeandikwa hakuna mke kumzidi mke mwenza wakati wa kurithi mali ya mume atakuzidi kwakuwa anamali amepewa na kuzalisha ila vile vya kupewa haki sawa tu musiogope eti watakufa mapema hawa vijana tunaowazika wanamakosa gani
nataraji wote mko salama, Leo nimeangalia mahojiano na mke wa marehemu prof maji marefu aliyekuwa mbunge wa korogwe vijijini,Na ninaongea kuhusu alwiya habib, amae ni mke wa marehemu maji marefu. hayo mahojiano yako hapo global tv, Nimegudua wakati maji marefu anaoa huyu binti yeye maji marefu alikuwa na miaka 60 na binti alikuwa na 23, diffrence ya maika 37. Si uamuzi wangu kuamua nani aoe nani LA, lakini niko kitu nataka mabinti ambao wanaolewa na wazee wa miaka ya mababu zao wachunguze mambo fulani, kwanza huyu mume ako na mke au wake, na je alioa hao wake au mke lini?nasema hilo sababu ya zile nimesikia kwa hayo mahojiano na pia kwa yale yamemukuta huyu mke wa marehemu alwiya,nimefahamu baada ya kusikiza mahojiano yote ya kuwa maji marefu alikuwa na wake wawili , lakini moja kafariki, na huyu mke wingine walioana na maji marefu zaidi ya miaka 20 iliyopita, ila huyu alwiya aliolewa miaka 2 iliyopita, sasa ukiangalia hapo utakuta huyu mke wa kwanza ndie walitafuta mali na maji marefu, na kamwe haiwezekani mke kaolewa kaaa na mume zaidi ya miaka 20, wakatafuta mali, alafu kabinti ka miaka 23 kanakuja kuolewa na kisha huyu binti aaze kufikiria atapewa ile mali, na haijalishi ati dini inaruhusu waisilamu kuoa hata wake 4, swali ni huyu binti aliolewa miaka 2 iliyopita anaweza kupewa mali sawa na yule mke ambae aliolewa zaidi ya miaka 20 na ndie walitafuta mali na marehemu , JIBU NI HAIWEZEKANI, na tena cha ajabu maji marefu aliweza aje kuoa muislamu ila hali yeye alikuwa mkiristo, lakini naona cheti cha ndoa alijiita alhaj maji marefu stanley, yaani alisilimu , na nia ya kusilimu ilikuwa moja tu, kuoa huyu binti alwiya, na hakuna mtu ambae hajui hilo, lakini ni haki yake kusilimu, na kuwa muislamu, lakini huyu binti asifikiri kuna mali atapata toka kwa maji marefu, na hii ndio nataka mabinti hao wadogo ambao wanaolewa na wazee wajiulize,nje kaa ni wao walikuwa wanahangaika na huyu mume kisha baada ya miaka hio yote, utajiri uko sasa, wanaweza kusikia aje huyu mume wao akioa kabinti ka miaka 20 au 24?sina shinda na binti ambae anaolewa na mtu amemuzidi na umri hata wa miaka 30, ila tu iwe huyu mume hajawai oa mke maishani wake au washatengana na mke wake, yaani sasa huyu mume ako pekee hana mke, hapo sina shinda, lakini si uje uingilie nyumba ya mke wenzako wakati wewe ni kaa binti ya mke wenza, haja yako ni kula na kuponda mali ambao wakati ilikuwa ikitafutwa ulikuwa bado hujazaliwa au ulikuwa unaenda choo kwa diapers, wasichana achane tamaa, ombeni mungu atakupa mali na mume kwa njia aijuae mungu muumba bingu na nchi,dunia hii ni mali yake yote, bibilia inatufundisa tuombe na tutapewa, wake na waume, mungu hajapungukiwa na chochote, mungu kaongea na nyota, mwezi, njua, miti, wayama na mali yote ikawa, mungu leo anaweza ongea neno moja tu kwako na maisha yako itabadilika, naamini katika chote kile bibilia yangu imenena, so mabinti kuweni na amani na uaminifu, wakati wa mungu ukifika utabarikiwa kabisa, namuonea huyu mke wa marehemu maji marefu alwiya huruma sana, omba dada yangu usiingie katika hayo, mubarikiwe yote kwa jina la aliye hai yesu wana wa daudi. amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio Msemaji wa Familia ha Profesa au wa Wanawake Wadogo? mbona hata Babu na Bibi zetu wengine walioa na kuolewa na wanaume wenye umri mkubwa na hutusemi? Usiwe kama nyani!
Inawezekana huyu ndie mke mkubwa wa profesa maji marefu aliyehangaika kuchuma mali na mume wake, sasa roho imemuuma baada ya kibinti kidogo kuja kuunga mkono juhudi kwenye ndoa yao, kwa hio sasa hivi anamuonyesha jeuri baada ya mume wao kua ara ai pii.

Maendeleo hayana chama
 
Kijana waache wazee waoe vibinti vidogo watakavyo ili wale nao maisha na kamwe usiwapangie mabinti kipi cha kufuata kwa hao wazee. Nawe tafuta pesa uje kula maisha na vibinti uzeeni.

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ✓
 
Ila inakua sio vizur unachuma na mwanamke Mali alafu baadae, unatafuta kabint kadogo unaoa wanaume tuwe na huruma Kwa wanawake, tunawafanyiaga ukatili sana
 
Nimejitahidi kuisoma hii habari..japo inafundisha ila haikua na mtiririko mzuri wa kimaandishi..!! maneno yamechanganywa changanywa
 
Point of correction mtoa mada. Maji Marefu hajafikia umri wa miaka 70 Kama alivyosema. Alizaliwa 25 Mei 1956. Ndio kwanza miaka 62 Kama angekuwa hai hadi leo. Mengine uliyotapika siwezi kuyathibitisha maana umezidi kupamba Sana.
 
Hapo sijakuelewa kuoa au kuolewa ni maamuzi ya mtu mwenyewe na kuolewa na tajiri sio kufuata mali na we we mke uliyetangulia kutangulia kuolewa sio kibali cha kuhodhi mali uislamu uko vizuri kila kitu kimeandikwa hakuna mke kumzidi mke mwenza wakati wa kurithi mali ya mume atakuzidi kwakuwa anamali amepewa na kuzalisha ila vile vya kupewa haki sawa tu musiogope eti watakufa mapema hawa vijana tunaowazika wanamakosa gani

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ulienda shule lakini?
 
Kasimangwa mtu hapa... Ila mwana duu hukuweka hata paragraphs, na matumizi ya herufi kubwa na ndogo yamekuwa shida kidogo

Jr[emoji769]
swahili is not my language sir, but as long as you have understood me its okay, after all this is not a job applacation mkuu
 
Point of correction mtoa mada. Maji Marefu hajafikia umri wa miaka 70 Kama alivyosema. Alizaliwa 25 Mei 1956. Ndio kwanza miaka 62 Kama angekuwa hai hadi leo. Mengine uliyotapika siwezi kuyathibitisha maana umezidi kupamba Sana.
i wish you saw the inside of a classroom pls
 
Inawezekana huyu ndie mke mkubwa wa profesa maji marefu aliyehangaika kuchuma mali na mume wake, sasa roho imemuuma baada ya kibinti kidogo kuja kuunga mkono juhudi kwenye ndoa yao, kwa hio sasa hivi anamuonyesha jeuri baada ya mume wao kua ara ai pii.

Maendeleo hayana chama
thank you sir for seeing my point, be blessed
 
Back
Top Bottom