Moja ya jaribu kubwa kwa mtu aliyeamini kumpenda Mungu ni pamoja na kuacha uzinzi mbali na uovu mwingine wote; ila changamoto inakuja ni vichocheo vya mwili vipo juu sana; mfano mimi siwezi kukaa...
Hello Jf family
Niruhusu nijikite kwenye hoja ya msingi.
Mimi ni mme wa mke mmoja. Ninaishi mkoa X ambao si asili yangu ila ndipo ilipo asili ya mke wangu.
Kwa mkutadha huo, interaction ya...
Jini mahaba ni tatizo kubwa kupelekea ndoa zetu kuvunjika kila kukicha, Jini mahaba huwakumba wanawake kwa asilimia 73 mpaka 80.
Kule visiwani wanawake asilimia 92 wanamajini, wenye majini mahaba...
Wasalaaam,
Hii inatuhusu wanaume tuu, hivi ulishawahi kuhisi wivu kwa mchepuko? yan unajua kabisa kuwa yule mwanamke namgonga tu afu bhaaas, ila ukisikia amegongwa na mwingine unaumia?
Mana...
Siku hizi kumekua na wimbi kubwa sana la vijana wadogo kupoteza Maisha tofauti na miaka ya zamani kwamba tulizoea kuona wazee tena wenye umri mkubwa ndio wanakufa kwa wingi
Mimi mwenyewe...
Nataraji wote mko salama, leo nimeangalia mahojiano na mke wa marehemu prof maji marefu aliyekuwa mbunge wa korogwe vijijini,Na ninaongea kuhusu alwiya habib, amae ni mke wa marehemu maji marefu...
Ningekuwa mwanamke nisingekubali kuolewa na hawa wanaume wanaovalia suruali zilizowabana vilivyo huku zikiwa chini ya makalio. wanatembea wakiwa wametanua miguu.
Nisingewakubali hawa wanaume...
Utamaduni wa watu wa nchini Kyrgyzstan unaruhusu kijana wa kiume kumteka kwa nguvu binti yeyote anayetaka kufunga naye ndoa.
Huu utaratibu ulikuwepo hata kwa wahaya, ukimtaka binti akazingua...
Heri ya siku ya Leo ndugu zangu.
Jumapili ya Leo imekua ya baraka kwangu, nikiri mimi na dhambi sasa basi hasa uzinzi nimefuta namba zote za waliokua wazinzi wenzangu na sasa naanza na...
Nahitaji marafiki wa kike na kiume wenye vision ya kusonga mbele na maisha
Umri kuanzia mika 30 hadi miaka 45 hivi
wasiwe walevi
Preferebly wawe Arusha au Moshi
Aliyeko tayari pm tuone kama kuna...
Waswahili wenzangu hii tabia ya kwenda kwa mtu usiku bila taarifa yeyote halafu unategemea ule na mambo kama hayo, hivi unategemea watu wajiandaeje sasa?
Hivi kwa nini mnaendekeza hii tabia...
......muwe Busy na kufanya Papuchi kuwa Bora..Ajabu mko Busy na Xternal tu wakati Jiko Bovu.
Ndo maana Mabaharia wakishapiga Show awarudii tena.
#Mizigo Mibovu Ndo maana wadau Wanaamua kuruka...
Habari za majukumu ndugu.
Nina Rafiki yangu Ameniambia nitamfutie mke
Nimetafuta mtaani hapa Nimekosa Nimeamua kuleta Tangazo humu MMU.
Sifa za mwanamke
Elimu Darasa la saba mpaka form 4...
Jamaa wa kicongo apewa sumu kwenye chakula na mkewe na baadae kumrekodi akiwa anakata roho... kisa nini? eti kugombania pesa ya child benefits na working tax credit[emoji1322][emoji1322]
Inna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.