Sifa zangu
Miaka 29
Mwajiriwa na nimejiajiri pia
Ni mweupe rangi
Mrefu wa kati
Nipo kanda ya ziwa
Awe na sifa
Miaka 20-30
Mwenye kazi au asiwe na kazi Sawa
Kimo chochote
Rangi yoyote
Awe mwelewa...
Ni kwamba ' Jarida ' moja ya masuala ya Kisayansi linalojihusisha na mambo ya Kijinsia na Mahusiano limesema kwamba wale Wanaume wenye Maumbile makubwa ya Uume ( Miboo / Mikuyege mikubwa ) hufa...
Wakuu samahanini nimekutana na binti nipo safarini natoka dar naelekea mkoani nipo kwenye bus siti 1 na mrembo kanitajia location yake tanga anasema yeye mdigo.. Vipi wale wenyewe uzoefu na hawa...
Kuna Mtu kasema asilimia 70 ya wanaume wamepewa limbwata, akasema kama unabisha fanya uchunguzi, akasema
1.Tabia ya mwana mke kuingia ndani saa zaid ya nne usiku alafu mwanaume kashalala na...
Nanukuu-:
"Mimi ni mama wa watoto watatu, nimelewa na ndoa yangu ina miaka kumi sasa, sababu ya kuja kuomba ushauri nikuwa, mwanzoni mume wangu alikua ni mtu wa kunywa pombe, si sana lakini mara...
Nimepata namba ya dem mpya nitumie mbinu gani ili niweze kumpata maana hata nashindwa pa kuanzia na mtoto ana uelewa mkubwa sana na kazi yake! Nilikutana naye mara moja tu! Ila nataka mbinu za...
Pete ya ndoa ni sehemu kubwa katika ndoa
KWA UFUPI
Utafiti mpya juu ya maambukizi ya uganjwa huo umebaini kuwa, asilimia 47 ya watu walio katika mahusiano ya kimapenzi ambao mmoja anaishi na...
Habari wana JF,
Ninaomba mnisaidie nimejikuta siku hizi nimekuwa nina wivu sana juu ya mpenzi wangu na hata muda mwingine huwa nakuwa nawaza vibaya juu yake kama vile kuhisi ana mtu muda fulani...
10 Mke mwema, ni nani awezaye kumwona?Maana kima chake chapita kima cha marijani.
11 Moyo wa mumewe humwamini,Wala hatakosa kupata mapato.
12 Humtendea mema wala si mabaya,Siku zote za maisha...
habari za mda huu wadau wa jf# namini mko poa . bilia ya kupoteza wakati acha niende ky mada moja kwa moja.
Hakika katika hii dunia ya sayari ya tatu hakuna kitu kizuri kama kuwa na furaha maana...
Asee yaani social media imeleta mabadiliko makubwa saana katika maisha ya kila siku. Nimeamini kuwa wanawake wengi saana wanajiuza ila tatizo ilikuwa ni eneo la kujiuzia na muda.
Sasa hv kupitia...
Waungwana wa MMU
Najua jukwaa hili lina watu wa kila namna
Sasa nimekuja kuwauliza madhara ya kiafya ya kutafuna Gomba a.k.a Mrungi/mirungi na kunusa Ugoro au kubwia Ugoro na kunywa pombe/wine...
Habari za majukumu wakubwa.. Kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu.
Leo baada ya kutoka kitandani mke wangu ameniomba kitu ambacho kimenishangaza na sikuamini kwamba angefikia hatua ya...
Siku hizi imekua ni kawaida pindi unapomtongoza mwanamke lazima kabla hajakukubalia ombi lako atapeleleza na kujua unafanya kazi gani na ofisi gani na mpaka anakukubalia ombi lako jua kabisa...
Heshima kwenu
Hata tusipoenda kula tunda hayo machache tu naridhika, Ama Kwa hakika naweza nisiwe peke yangu mwenye kupenda vilivyotajwa hapo juu
Naamini tuko wengi muno si Wazee wala Vijana...
Nahitaji msaada kuna demu nimepata namba yake kupitia rafika ila nataka apoitment naye sema nashindwa nianzie wap! Nipen nondo
Sent from my iPhone using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.