Kati ya wanaume mabachela na walio-oa ni wapi wanakula vizuri zaidi.

Tairus

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
680
Reaction score
1,068
Naombeni kujua kutokana na experience yenu mlioa ni kweli ukioa utakuwa unakula vizuri zaidi ya ulivyokua unakula kabla ya kuoa.

Jibu ni ndio au hapana..

Uzi tayari.
 
Theoretically ni kuwa ukioa mwanamke anaejua kupika utakula vizuri hiyo iko wazi.
Lakini kama ana mambo mengi tunarudi palepale ndio maana nimesema tuongelee experience.
 
Ukiwa bachela ndo unakula vizuri,hata ukinunua maziwa hutii maji,
sasa ukishakua na familia maziwa wewe unatia maji,mmasai kabla hajakuuzia anatia maji na pale kwenye kibanda cha maziwa napo wametia maji,
maza fanta kabisa
 
Hahahaaa..
Ukiwa bachela ndo unakula vizuri,hata ukinunua maziwa hutii maji,
sasa ukishakua na familia maziwa wewe unatia maji,mmasai kabla hajakuuzia anatia maji na pale kwenye kibanda cha maziwa napo wametia maji,
maza fanta kabisa
 
Naombeni kujua kutokana na experience yenu mlioa ni kweli ukioa utakuwa unakula vizuri zaidi ya ulivyokua unakula kabla ya kuoa.

Jibu ni ndio au hapana..

Uzi tayari.
hakuna anayekupangia kula kama unafamilia.nakula ninacho mpaka na wapishi wanao kuja kupika nikisha shiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la bachela unatumia hela nyingi mno, breakfast tu inaweza cost hata 10,000/=

Imagine umeagiza mchesho wa kuku na chapati mbili ukapiga na soda
 
Supu ya wap iyo mkuu..
 
mchana tu lunch.. 5000 lazima ikate.. yaani bachelor ule ugali matembele... sijawai ona..

samaki, vyuku,nyama choma na bia sio vitu vya kuulizia kwa msela...
 
Vipi kama uko single alafu hujui kupika..vyakula vya mitaani vinaweza kuwa salama kwako siku zote?just coz u can afford
kula vizuri kunategemea na pochi yako na si marital status.
 
Naombeni kujua kutokana na experience yenu mlioa ni kweli ukioa utakuwa unakula vizuri zaidi ya ulivyokua unakula kabla ya kuoa.

Jibu ni ndio au hapana..

Uzi tayari.
Haswaa wanafaidi sana, chakula cha nyumbani kizuri sana. Mimi huwa nakula kwa sister hadi raha.
 
Back
Top Bottom