Mwanamke gani ungependa umuoe?

Mwanamke gani ungependa umuoe?

Ni swali raising turn wala usijifanye hauelewi

Wewe kama Mwanaume (Kidume/ Rijali)
Ungependa uoe Mwanamke was aina Gani Kati ya hawa 3?!

1. Mwanamke mpole, sio bikra, mnyenyekevu, mkimya, ukimtukana hajibu, akikuona unakuja anakukimbilia kukupokea mzigo uliobeba, anampenda Mungu, mtulivu, Introvert, kila ukimpa idea anasema ndio bwana upo sawa bwana, hachangii maendeleo anakuachia kila kitu ufanye Wewe, changamoto za maisha zikija anakukimbilia Wewe, elimu chuo kikuu

2. Mwanamke Mjanja, aggressive, sio bikra, fighter, mchapakazi, changamoto za maisha zikija anazimaliza mwenyewe alafu anakupa mrejesho, anachangia maendeleo mwanzo mwisho, sio mpole (mwongeaji), ana akili (smart), anampenda Mungu, elimu chuo kikuu

3. Mkimya, sio mwongeaji, ana bikra, changamoto za maisha zikija anachangia ila 70% anakuachia mume, ndio bwana madizaini, elimu chuo kikuu

4. SICHAGUI HATA M1 UTAKAEMCHAGUA

Kuwa mkweli Mwanamke yupi Kati ya hao 3 utamuwowa?!

Au wewe chaguo lako ni no 4?!


Nikimpata Miss Natafuta Dunia nzima itakuwa mfukoni mwangu, mdada ananipagawisha sana huyu
 
Bro taja namba bwana mbona una ukorofi wa kiafande?!
Mimi nachagua namba 2. Kwanini? Bikra ni nini bwana? Mimi nipo tayari kuoa hata mwenye mtoto mmoja, bora tu awe na mapenzi ya kweli. Unaweza kuoa bikra na baadae akabadilika na usiamini. Lakini ukioa ambaye alikwisha pitia maisha hakuna mapya yatakayomzuzua. Ukija kwenye uchangamfu ni kabisaa, mimi huwa nawapenda sana wanawake wachangamfu kwani hata nyumbani kukiwa na challenge unajisikia ahueni mkeo anapokuchangamkia. Kwa kifupi nachukua namba 2 bila hata kusita.
 
Back
Top Bottom