Hivi wadau tunavyo sema upungufu wa nguvu za kiume ,hapa swala ni kutofikia mshindo Mara nyingi au kuto simamisha uume kwa muda mrefu, hebu tujadili hili tutabainishe
Wadau habari,
Husikeni na kichwa hapo juu kuna binti mmoja tulikuwa tunaishi naye mtaa mmoja..mimi nikiwa nimepanga na yeye akitokea kwao,sasa nnapotoka kazini mara nyingi nilikuwa napitia kwenye...
Nakumbuka kitabu chenye hiyo title kilikuwa na simulizi ya kuvutia kuhusu mapenzi.
Wahusika wakuu wakiwa ni Faridah, Ihucha, Uncle Musa n.k. Eneo lililotajwa mara nyingi lilikuwa ni Mwenge kama...
Habarini za saa hizi wana Jf
Nimefanya utafiti wa kudate wanaume tofauti, tofauti, ila wanaume wenye sura ngumu na warefu walitokea kunikuna mtima wangu hadi nunuu yangu iliomba poo.
Wanaume...
Je ni kundi lipi kati ya wanawake au wanaume ambalo lina wivu sana kwenye mahusino/mapenzi??
Ukweli ni kwamba wanaume tuna wivu sana kwenye mahusiano japo wengi huwa tunajikuta wagumu sana lakin...
Wakuu,wiki hii ilikua wik ya siku yangu ya kuzaliwa,mabint wameniwish nin,mi kiukwel katka vtu ambavyo hua vnanipita ni hii siku,huwaga namshukuru Mungu tuu then inapita,sasa hii ya sasa hiv.huyu...
Siku zote fungua milango kwa watoto kufurahi nyumbani kwako na watoto wenzao na utawasaidia kuepuka mengi kwa dunia ya sasa yenye changamoto za kila namna. Utajua wanacheza michezo gani, wanaongea...
Hiyo inajieleza ni kweli house girl au wanafunzi hawanaga uchungu wa nataka embe bichi, chipsi za musa, mara pepsi baridi mara nataka kunusa harufu ya kwapa la mme wangu usioge,
Je hayo ni...
Naomba tu kujua kuna Siri gani iliyojificha katika Baiskeli hadi Wanawake wengi waseme huwa wanapenda, wanasikia raha ( wanakunika ) Kimwili na Kuchangamka zaidi wakiwa wanaendesha Baiskeli.
Kuna...
BOYFRIEND and Girlfriend ndiyo jina la kolamu, tukijadiliana mambo muhimu ambayo vijana walio kwenye urafiki, kabla ya kufikiria kuhusu uchumba na baadaye ndoa wanapaswa kuyajua. Wapo baadhi ya...
Hivi kuna mtu aliwahi pata mwanamke mtandaoni kama Facebook au instagram akadumu naye miaka hata miaka mitatu?
Tuwape watu mrejesho na changamoto ulizokumbana nazo wakati ya mapenzi yenu na hiyo...
Wakuu nipo njia panda hapa sijui nifanye nini chuoni nilikua na mahusiano na binti wa kinyaturu Miaka mi3 lakni mwaka Jana nimemaliza namwambia twende kwao nikalipe mahari nilijikunjua mwanaume...
Umejitahidi kupiga picha za kuonyesha umbo lako kwa nyuma. Wanaume wamechuna.
Umejitahidi kupiga picha huku umebusti kifua, wanaume wamechuna.
Umejitahidi kupiga picha huku nguo yako ya ndani...
Wakuu kama mume mtarajiwa bora nianze mapema kupeleleza simu ya girlfriend Wangu kwa ajili ya kubaini upuuzi wa aiana yeyote, Kesho nitaenda nayo kazini.. Nimemaliza! Mwenye maoni kuniunga mkono...
Habari wanajamvii ni matumaini yangu mko salama na poleni na kadhia za kila siku,
Niende moja kwa moja kwenye mada, ndugu mimi ni muhitimu wa chuo kikuu Moshi katika ngazi ya ( diploma)...
Jamani mpaka inaogopesha, wanawake walio kwenye ndoa (sio wote) sijui wanakumbwa na tatzo gani! Yaani ni warahisi mno kuwagegeda! Yaani ukishaonyesha kumjali, mpigie simu na kumtumia msg kumjulia...
Pale Professor anaposifia mapishi ya mkewe mpya, je huyo atakuwa na viwango vya elimu ya juu vya heshima katika nyanja za kupika?
Pia, hivi kweli ana ubavu au ndio juice za avigra?
Kama demu hujawahi mkaza hata mara moja usimtumie nauri ili aje. Nimepokea malalamiko toka kwa wadau kibao kuwa mademu wengi siku hizi wanaomba watumiwe nauri lakini wakishatumiwa hawafiki eneo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.